Mange amshambulia Lulu

Kwa sasa lulu kabanwa na kesi hawezi kujibu,kuna kipindi lulu alimchokoza le mutuz jamaa akakumbishia kesi lulu akaufyata
Na lulu anashindwa kujibu maana mustakabal wa kesi yake bado haujulikani laiti angejua kesi yake yaishaje insta ichechafuka leo
 
Kwa sasa lulu kabanwa na kesi hawezi kujibu,kuna kipindi lulu alimchokoza le mutuz jamaa akakumbishia kesi lulu akaufyata
Hilo nalo kubwa jinga jitu lina mavuzi ya shaba kukaa mitandaoni au kitaani kujadili mambo ya kike ni ushoga sio uanaume period.
 
Na lulu anashindwa kujibu maana mustakabal wa kesi yake bado haujulikani laiti angejua kesi yake yaishaje insta ichechafuka leo
Na jambo la kufurahisha Mange anamsema lulu wakati uwa anajisifu mwenyewe kuwa alianza uchakaramu mapema.
Hadi uwa anahadithia alivyokuwa anatoroka kwao anafuata wanaume.
Kuna siku aliniacha hoi alipokuwa anamtukana mzazi mwenzake eti alikuwa mario hata ela ya guest alikuwa analipa mwenyewe ili agongwe...
 
Hilo nalo kubwa jinga jitu lina mavuzi ya shaba kukaa mitandaoni au kitaani kujadili mambo ya kike ni ushoga sio uanaume period.
[emoji23][emoji23][emoji23]naona unautani na le mbebez
Subiri aje akujibu humu
 
Mkuu nataman angemchokoza lulu kipindi kesi haijatajwa, insta pasingekalika
bahati mbaya sana jf sio instagram
maana naona ultaka watu wamchambeee mange roho yako iridhike

akuna asie na dhambi ila ukijiona msafi sana kiasi kuwachukia wenye dhambi wote mnakua kundi1

kuchukia kidogo inaruhusiwa ila sana unakufuru
punguza chuki kwa mange MAMA
 
Nimetafuta kootee JF nzima sijaona sehemu uliponitongoza nikakukataa au kukubali kisha kukupa mtoso,mbona unanifata fata hivyo kila thread lazima uniquote na kukosoa kheee una gubu kama jogoo mbaka vifaranga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…