Kwani n kosa kisheria Mage kumtaka diamond?!Mange anamtaka Diamond
na alishasema akimtaka hakatai!Mange anamtaka Diamond
Kama mange ni bomu si um unfollow insta? kujazana kumjibu ndio kumpandisha chati
haaa sijui loya.....Hivi Zari ana miaka mingapi?
Jiwe lipi alilorusha?Yaani huyu Mange nimemuona yuko obsessed na Daimond anajifanya kuwa anamtetea Wema lkn kuna jambo
Yuko obsessed beyond measure
Lkn pia naona ni wivu nayo maisha ya Daimond na Zari anayapenda sana sasa yeye Hana ndio roho inamuuma kupita kiasi
Maana alikuwa anapenda kuonekana bosslady
Mlete Mada naomba nikujibu kama ifuatavyo. Kwanza, lazima uelewe kuwa Mange ni Celebrity mkubwa tu hapa TZ. Ukumbuke kuwa Miss TZ wa kipindi hicho ambao walifanikiwa kushinda ukiishia kwa Wema Sepetu amekuwa akiwaandaa yeye. Pili, Suala la Mange na Diamond usilichukulie hivyo. Kama unakumbuka wakati Diamond alivyofanya Diamonds are Forever. Mange ndiyo aliyeandaa akishirikiana na kina Ruge. Kwa hiyo fanya utafiti wa kutosha. Dai Anamheshimu mno Mange na Matusi yake yote ndiyo maana hata siku moja Dai ajawahi kuongea chochote kuhusu Mange. Tatu, Mange kumuandama Zari yeye mwenyewe ndiyo alimuanza. Kumwambia RIP Lance Snapchat na watu walimkanya huyo Zari kuwa asimchokoze Mange. Sasa kajibu mashambulizi Mange anaonekana mbaya. Nne, Mange ni Blogger, tena the best female Blogger in Tz. Kwa hiyo ana uhuru wa kublog chochote kile. Ndiye mmiliki halali wa U-Turn. Siku ikirudi hewani pita usome maada zake. Ni mwandishi mzuri sana.Habarini,Kwa mda mrefu sana nimekuwa nikujiuliza maswali mengi ambayo nimeshindwa kuwa na Majibu yake!!!,Lakini am sure hapa Jamii Forum nipata majibu sahihi!!
Siwezi kumuweka MANGE KIMAMBI kama ni celebrity kwasababu sijamjua yeye nini kinamfanya awe celebrity ila nitamterm kama mtu anaye utafuta ucelebrity kwa hali na mali kupitia yale anayo yafanya!!! Kwa kile anacho kifanya huwezi dhania na kufikiria kuwa ni Mama Mtu mzima wa Watoto Watatu!!! Lakini huo ndo ukweli!!!
Sina shida na yeye ila mimi najiuliza yeye ana nini na Familia ya Diamond? Ana matatizo gani na Familia ya Diamond??? Na yote haya ukiangalia mzizi wake utagundua kuwa shida sio familia ya Diamond shida ni Diamond! Sasa najiuliza kuna nini nyuma ya Pazia kati ya Mange na Diamond platnumz??
Kabla ya kuleta huu uzi hapa nilijaribu kudodosa dodosa kwa wajuzi wa mambo ndipo wakaniambia tarifa zisizo rasmi kuwa DIAMOND alisha mchomolegea MANGE KIMAMBI kimapenzi,so mange amekuwa ni kama analipiza kisasi baada ya kuona Mafanikio makubwa alinayo sasa Ndugu yetu Diamond! Inasemekana Mange kimambi alipata mshtuko baada ya kuona Diamond taratibu akifanikiwa na amekuwa akifanya kila mbinu za kumtaka kumshusha Diamond na kumgombanisha lakini zimekuwa zikigonga mwamba!
Katika hilo Mange alimkalia Diamond kooni na kumtaka kuachana na Zari kwa kuwa Zari ni mkubwa Kiumri kwake hivyo ni vizuri Diamond akatafuta Dogodogo kitu ambacho kiligonga mwamba lakini Zari alichafuliwa sana!!
Amekuwa akiiponda kazi nyingi za Diamond na kila juhidi anazo zifanya Diamond lakini Diamond akuwa imara na hata hateteleki!!
Nimeona Mara nyingi akimponda Diamond kuwa shoo zake hazijazi watu na kuwa Diamond kachuja amemkalia kooni kwa mambo mengi sana na kufanya mm n wengine tujiulize maswali kuna nini??
Sahizi anamshutumu mke wa Diamond na kuwa ana Watoto wengi na Alidanganya kusema ana Watoto 3 kitu ambacho sijui kama kina ukweli zari akadanganya kwa mtoto wake na mtoto wake asiseme chochote!!!
Siwezi kiweka vyote hapa Ambavyo mange anawakalia kooni familia ya Diamond lakini nahisi huyu ni mtu wa kwanza kuishi Marekani huku akiwa na Uswahili sanaaa
Sipo Kichwani mwa Zari lakini Am sure 100% zari atakuwa anajutia kuwa na uhusiano na Mtu toka Tanzania!!!! Na ambacho atakuwa anajutia sana ni uswahilii walio nao wabongoo!!! Japo ataficha lakini 100% Zari haya yatakuwa mauhusiano yake ya kwanza kuwa anajutia kuweko huko,ukiangalia uswahili wa mama Mkwe na Baadhi ya watanzania kwa ujumla!!! Mama ake Zari ni mfano wa kuigwa!!!
Lakini Swali langu ni je Mange kuna nini na Diamond?
She is not Miserable Chief. Humjui huyu Mange weweShe is a loser who hates her own life so ana wivu na watu wanaoenjoy maisha yao, kwahiyo anajitahidi kadiri awezavyo kumfanya kila mtu awe as miserable as she is..
Mpuuzi..
Mange ameanza kumfuatilia Zari kabla ya talaka kafungue blog yake uoneMlete Mada naomba nikujibu kama ifuatavyo. Kwanza, lazima uelewe kuwa Mange ni Celebrity mkubwa tu hapa TZ. Ukumbuke kuwa Miss TZ wa kipindi hicho ambao walifanikiwa kushinda ukiishia kwa Wema Sepetu amekuwa akiwaandaa yeye. Pili, Suala la Mange na Diamond usilichukulie hivyo. Kama unakumbuka wakati Diamond alivyofanya Diamonds are Forever. Mange ndiyo aliyeandaa akishirikiana na kina Ruge. Kwa hiyo fanya utafiti wa kutosha. Dai Anamheshimu mno Mange na Matusi yake yote ndiyo maana hata siku moja Dai ajawahi kuongea chochote kuhusu Mange. Tatu, Mange kumuandama Zari yeye mwenyewe ndiyo alimuanza. Kumwambia RIP Lance Snapchat na watu walimkanya huyo Zari kuwa asimchokoze Mange. Sasa kajibu mashambulizi Mange anaonekana mbaya. Nne, Mange ni Blogger, tena the best female Blogger in Tz. Kwa hiyo ana uhuru wa kublog chochote kile. Ndiye mmiliki halali wa U-Turn. Siku ikirudi hewani pita usome maada zake. Ni mwandishi mzuri sana.
Ndiyo maana nimesema Mange ni BLOGGER.Mange ameanza kumfuatilia Zari kabla ya talaka kafungue blog yake uone
By far this is the wittiest and well put comment I have read in JF for so long. Well said ma'am.Hatuko obsessed,ila tunashangaa how can a woman aliyetoka kwenye womb ya another woman be consummated with so much hate-she makes even the likes of Hitler look like choir boys
Mi huwa unani boa haya maneno yako,wangapi wanaonyesha familia zao......sema tu huyu jamaa wanatamani tu asiwepo hapo alipo.Ndo tatizo la kuchanganya kazi na familia si ameamua kuweka kila kitu public domo haya ndo madhara yake watu wanamtusi mpaka mama yake mzazi kitu ambacho sio sahihi
only truth will make you freeHapana aisee.
Hebu jaribu kufanya utafiti uone ni threads ngapi zinazomjadili huyo mtu.
Halafu, mbona hushangai pia chuki inayoelekezwa upande wake?
Hujawahi kuona baba yake [ambaye inasemekana ni marehemu] akitukanwa?
Hujawahi kuona mama yake [ambae naye inasemekana ni marehemu] akitukanwa?
Hujawahi kuona watoto wake wakitukanwa?
Kwa nini mnakuwa vipofu wa yale mabaya yanayoelekezwa kwake na mnaishia kuyaona ya kwake tu?
Au yeye huwa hatukanwi?
Aiseeee [emoji26][emoji26]Habarini,Kwa mda mrefu sana nimekuwa nikujiuliza maswali mengi ambayo nimeshindwa kuwa na Majibu yake!!!,Lakini am sure hapa Jamii Forum nipata majibu sahihi!!
Siwezi kumuweka MANGE KIMAMBI kama ni celebrity kwasababu sijamjua yeye nini kinamfanya awe celebrity ila nitamterm kama mtu anaye utafuta ucelebrity kwa hali na mali kupitia yale anayo yafanya!!! Kwa kile anacho kifanya huwezi dhania na kufikiria kuwa ni Mama Mtu mzima wa Watoto Watatu!!! Lakini huo ndo ukweli!!!
Sina shida na yeye ila mimi najiuliza yeye ana nini na Familia ya Diamond? Ana matatizo gani na Familia ya Diamond??? Na yote haya ukiangalia mzizi wake utagundua kuwa shida sio familia ya Diamond shida ni Diamond! Sasa najiuliza kuna nini nyuma ya Pazia kati ya Mange na Diamond platnumz??
Kabla ya kuleta huu uzi hapa nilijaribu kudodosa dodosa kwa wajuzi wa mambo ndipo wakaniambia tarifa zisizo rasmi kuwa DIAMOND alisha mchomolegea MANGE KIMAMBI kimapenzi,so mange amekuwa ni kama analipiza kisasi baada ya kuona Mafanikio makubwa alinayo sasa Ndugu yetu Diamond! Inasemekana Mange kimambi alipata mshtuko baada ya kuona Diamond taratibu akifanikiwa na amekuwa akifanya kila mbinu za kumtaka kumshusha Diamond na kumgombanisha lakini zimekuwa zikigonga mwamba!
Katika hilo Mange alimkalia Diamond kooni na kumtaka kuachana na Zari kwa kuwa Zari ni mkubwa Kiumri kwake hivyo ni vizuri Diamond akatafuta Dogodogo kitu ambacho kiligonga mwamba lakini Zari alichafuliwa sana!!
Amekuwa akiiponda kazi nyingi za Diamond na kila juhidi anazo zifanya Diamond lakini Diamond akuwa imara na hata hateteleki!!
Nimeona Mara nyingi akimponda Diamond kuwa shoo zake hazijazi watu na kuwa Diamond kachuja amemkalia kooni kwa mambo mengi sana na kufanya mm n wengine tujiulize maswali kuna nini??
Sahizi anamshutumu mke wa Diamond na kuwa ana Watoto wengi na Alidanganya kusema ana Watoto 3 kitu ambacho sijui kama kina ukweli zari akadanganya kwa mtoto wake na mtoto wake asiseme chochote!!!
Siwezi kiweka vyote hapa Ambavyo mange anawakalia kooni familia ya Diamond lakini nahisi huyu ni mtu wa kwanza kuishi Marekani huku akiwa na Uswahili sanaaa
Sipo Kichwani mwa Zari lakini Am sure 100% zari atakuwa anajutia kuwa na uhusiano na Mtu toka Tanzania!!!! Na ambacho atakuwa anajutia sana ni uswahilii walio nao wabongoo!!! Japo ataficha lakini 100% Zari haya yatakuwa mauhusiano yake ya kwanza kuwa anajutia kuweko huko,ukiangalia uswahili wa mama Mkwe na Baadhi ya watanzania kwa ujumla!!! Mama ake Zari ni mfano wa kuigwa!!!
Lakini Swali langu ni je Mange kuna nini na Diamond?
Jamaa anapenda sifa Sana na showoff msanii gani Tanzania anachanganya family na musicMi huwa unani boa haya maneno yako,wangapi wanaonyesha familia zao......sema tu huyu jamaa wanatamani tu asiwepo hapo alipo.
Showoff ni nini ?????Jamaa anapenda sifa Sana na showoff msanii gani Tanzania anachanganya family na music