Mange ana matatizo gani na familia ya Diamond Platnumz!?

Uko sahihi jembe
 
Wewe lazima umesoma Harvard University si bure! That's her 100000% eti Mange is not miserable Chief ha ha ha that's how she talks.
 
na wewe mtoa mada una unaugua upungufu wa mange kinambi mwilini hujui ni celebrity ila unamuweka jukwaa la celebrity haya maajabu
 
So kuanza kusumbua watu waliotabiliwa kuwa washindi afu utegemee kutoboa kirahs
 
Mange na Lemutuz wana aina moja ya kuishi, wanatafuta kiki kwa kila hali,Mange bila kuwaponda kina Diamond na wengine angejulikana vipi?
mnapata tabu mnao shughulishwa na mambo yake kama mngempuuza wala yasingekuwa haya tunayojadili hapa

Kwani mwenzetu umekuja mjini lini? Ulikuwa humjui mange kabla hajaanza topics za diamond na zari?
Karibu mjini, anajulikana muda mrefu toka enzi za zeutamu, unajua zeutamu ninini?
 
Huyu Mangi na yeye ni Bongo movie au ndio nani?
 
Mange hana wivu na zari wala diamond, kwa hiyo wote wanaomsema diamond na zari wanawaonea wivu, zari alijiroga akaingia kwenye anga za mange baada ya kumcheka mange alivopewa alaka akapost snap chat yake R. I. P LANCE ambaye ni mme wa mange, akifuahia kuachana kwao, kwani Mara ngapi mange anawaongea celebrity mbalimbali,? Au zari ni wa ngapi huwa wanamsema mbona wengine anawa ignore? Mange anaweza, Kuwa anafahamu kabisa ukweli kwamba zuleha c mtoto wa zari ila nimdogo wake ila kaamua kumkomesha baada ya kumcheka
 
Nilivyokuwa mdogo nilidhani ukienda marekan unaachana na tabia za kiswahili Swahili ila kwa anayofanya mange kila siku kusema watu, majungu, matusi na kusengenya wenzake naanza kuamini anaweza kuwa anaishi tandale ya marekani....

Naona umeamua kujitusi na kuwatusi Waswahili.....

Tabia za kiswahili swahili ndio zipi hizo?

nitakosea nikisema hii ni inferiority complex of the first order....

Unajidharau kabla hujadharauliwa?!

Tabia ya mtu mmoja inaweza kuwa stamp ya Waswahili wote?!
 
sometimes you just have to admire Mange-Huko insta leo kaachia cheche point tupu amesema why she thinks Magufuli is the worst presida in Tz history-my God kamwaga facts tupu why Tanzania under Magufuli has lost its way kachambua kisomi na kaweka facts kuntu-kasema yuko tayari kurudi Tanzania and face the wrath of the powers that be.Amesema CCM walifanya vizuri kumkata kwenye ubunge otherwise pangechimbika
 
Duh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…