Mange awashukia Wema na Diamond, asema bila yeye Wema asingeshinda U-miss

Yajayo tumeyasubiria tu.

Kazi yetu kusoma na kutoa comments
 
Kuna wanaume humu km wanawake wambea haooo
 
Muchawi kadakwa! Kimavi anajitahidi kumficha mobeto ila ndo fileeee tenaaa keshadakwa mlozi
 
Wema alishaambiwa toka awali asigombane na mtu aliyezaa na baba yake kwani huyo kalaaniwa ila hataki, shauri yake. Watu wanampaga tu ujiko huyu binti kiziwi mwenye kutafuta kick at all costs. Ngoja nimpigie simu Baba yetu Le Mutuz aje kumpa makavu live.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…