Mange Hapendi maendeleo ya Diamond lakini anapenda kufuatilia maisha yake

themagnificient

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2016
Posts
1,033
Reaction score
3,720
Waswahili wanasema ukiona mtu anajifanya hakupendi alafu kila siku anafuatilia maisha yako kila unachofanya basi jua huyo ni shabiki yako mzuri tu

Basi ndivyo ilivyo kwa mange kimambi, huwa anachuki na maendeleo ya Diamond Platnumz huku bado anapenda kufuatilia maisha yake ya kimziki hadi mapenzi, kibaya Diamond amekuwa hajibu chochote.

Mange kimambi hapendi kabisa kuona mtu aliemzidi maendeleo hata zari hampendi kabisa sababu anaishi maisha ya kifahari, Japo anaishi marekani lakini huwezi mkuta anapiga picha akiwa nje ya nyumba yake kwa kuogopa kuaibika

Kila kukicha picha zake amekuwa akipiga location tu kwenye mahoteli na majumba ya watu lakini nyumba anayoishi hawezi kupiga picha sababu anajua maisha anayoishi

Lakini amekuwa akipambana na watu walimzidi kimaisha wakati akijua kuwa anaishi United states of America kwa kudanga tu hana kazi ya kumlisha, cha msingi mange anatakiwa adeal na siasa ndizo zinampendeza ila maisha ya watu anaonyesha ni jinsi gani alivyo na roho ya wivu.
 
Mangi Kimambe atagombea urais wa Marekani 2020. Mnaodai analala ghetto mtaaibika akihamia White House. Watoto wake watakuwa wanapiga story na kina Sasha Obama, sio nyinyi kajamba nani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…