Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,776
Mkuu kaniblock long timeUshahidi?
Huyo ni Kafiri mkuu sio MuislamuNdo mlivyofundishwa hivyo na kipenzi chenu kwenye uislamu?
Oyaaa mimi ni muumini wa madhehebu matakatifu ya kiislam ya Shia.Huyo ni Kafiri mkuu sio Muislamu
Kumwin kisaikolojia dada wa taifa siyo lele mamaKwahiyo umekuja ututambie tukusifie au unamaana gani?
wengwine na mwie huko akauntwi tulisahau unywira si ndiwoo pasiwodi na fogoti...... email zishatumika baswi kupitwa tu na ywa instagram yotweeeeHalafu hajui nina account za insta zaidi ya ishirini na ninamfollow maamae NI kama kampiga chura teke.
Haijalishi hiyoOyaaa mimi ni muumini wa madhehebu matakatifu ya kiislam ya Shia.
Bakuli la uji limemwagika, kumkera mtu ukimtazamie akutie kufuli huko si kumshinda ni kujichosha tu.Kumwin kisaikolojia dada wa taifa siyo lele mama
Huku tunaita kupima maji mtoni kwa kamba.Kuna wakati nakuwa curious kujua nyuma ya hizi fake IDs kuna kiumbe chenye muonekano upi/umri/elimu kiasi gani cha kuandika vitu kama hivi
wengwine na mwie huko akauntwi tulisahau unywira si ndiwoo pasiwodi na fogoti...... email zishatumika baswi kupitwa tu na ywa instagram yotweeee
eeeh ilwa wajipwa moywo kwa muntu ana bloki lwandwa hatwa mamwia kwa one day