Mange Kimambi a Tanzanian Socialite is back!!

Mmh not this thread mepotea njia hapa! Nimejua beef ni nyama leo
 
Wee nae wkt anatukanwa mbona hukuandika hii barua yako ya kingereza cha form 3B.
Mange walimuanza, anamalizia.

Kamuulize huyo Mange Kimambi kwanini Page Yake instagram kaiweka private kwa wiki nzima.

Wazee wa UNDP, walipoona maisha ya ndani ya staff wao yapo mtandaoni. Wakatuma cybercrime squad kupeleleza huyo mange anatoa wapi hizo info. Mwisho wa siku wakagundua IP address na voice conversation zimeanzia kwa Rita Mchaki staff wao. Wakaenda mbele zaidi wakagundua kuwa Huyo Rita Mchaki na Mange walikutana March 15 dar kempinski kwenye party.

Hivyo kasha mchongea mwenzake sasahivi kapewa barua ya uchunguzi na Kakalia Kuti Kavu UNDP.
 
Inasemekana anaowatukana wamemuanza..sasa je mbona maadui wake ni wengi sana ?ina maana hawa wote wao ndo wanamchokoza na kwann yeye tu? amewakosea nini. nawaza tu
 
Tushajua uko Arkansas ndani ndani wanakolima kunde, unatumia nguvu kutujulisha uko Marekani na kingereza cha kulazimisha kutuchosha huku unaonekana live unamponda Mange. Bye bih!
🙁😀
 
Watu wanaosena eti wanamuanza mange hawamjui,,toka utotonni mange ni muonezi yani alikuwa ni vile vitoto vibabe vya darasa....Yeye umuanze usimuanze kama umemzidi au maarufu basi jiandae kama,haujatukanwa bado hadi leo basi ipo siku yako ya katukanwa...na yeye anayokuchamba sio yote ya kwel ni anakipaji cha utunzi na uandishi..sifa yake nyingine anapenda sana kuongelewa, ana account fake kibao IG, yule ni wa kumpuuza tu.
 
Mi mwenyewe nashangaa wanaosema eti Mange kaanzwa! Mange anapenda kusema tu wenzie ila ikitokea naye wakamsema eti wamemchokoza mfyuuuuu!

 
Hataaaa siyo Wa kumpuuza hata kidogo... Au kwa kuwa alisema ukweli kuhusu upumbavu Wa Magufuli kumpiga mkewe?
 
Mange ni mwendawazimu pasee. ..
 
who is nambua?
 
Kina dada wasipocharazwa mikwaju vizuri na waume zao wanakuja kusumbua kwenye social netrworks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…