Mange Kimambi afuta post zote za 'kuiponda' serikali ya CCM

Ila aangalie tu huyo Mpenzi wake asiwe pacha wa wale waliokamatwa Malawi kwani wana mbinu nyingi na ujanja mwingi wa kummaliza adui pasipo adui kujijua na hadi ukija kushtuka tayari umeshaangamizwa. Naomba niishie hapa tafadhali!
Ni mzungu
 
Ni mzungu

Na siku zote wakiwa wanataka kukupandikizia Mtu kukumaliza huwa wanamtafuta Mtu ambaye huwezi kumdhania na pengine ni wa race nyingine kabisa kisha anakuwa planted kufanya majukumu. Muwe mnapitia pitia kidogo Vitabu mbalimbali vya Jamaa zetu wale wa Malawi ili muweze kujifunza mengi kwani siku hizi Mashirika makubwa kabisa ya hiyo fani huweza Kazi zao na uzoefu wao hasa Kimaandishi ili Watu kama sisi tuweze kujifunza na hata kuna Picha nyingi tu za Video zinavyoelezea uhalisia wa hawa Jamaa wa KAZI MAALUM katika kutekeleza azma yao.
 
Labda wendawazimu umetulia kwa muda aka regret...kikiamka tena ataanza tu.
 
Mwezi mchanga yule subiri uone
 
Basi watakua wamekosa cha kufanya! Yaani uanze kumuwinda hivyo mtu kama Mange[emoji23][emoji23][emoji23]kwanza hajalii
 
Ila aangalie tu huyo Mpenzi wake asiwe pacha wa wale waliokamatwa Malawi kwani wana mbinu nyingi na ujanja mwingi wa kummaliza adui pasipo adui kujijua na hadi ukija kushtuka tayari umeshaangamizwa. Naomba niishie hapa tafadhali!
Nadhani humu yupo mkuu na atakua ameona hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…