niklaus mikaelson
Member
- Jul 11, 2015
- 5
- 3
No no.......free our Mange pls........hope sio kweli.......
Bring back our Mange.......
Ubuyu wa mjini tutapata wapi
amepewa debe leo, na kama ameshindwa dhamana basi mpaka jumatatu ijayo
Mboni amefanya la maana hakujibishana naye amefata sheria zote. Nadhani na yoyote atakaye mzalilisha bora kumshtaki.
From lemutuz post
Duh haJatoka hadi sasa....
Hata hivyo ni jasiri sana. ningekuwa mange nisingerudi bongo wakati huu. huku sijui kama atasalimika...Mungu ampiganie
Hii ishu yake ya cyber-bulling asipokuwa makini atachezea miaka mingi gerezani. Anatakiwa athibitishe yale aliyokuwa anayaandika kwa ushaidi usiotia shaka.
amepewa debe leo, na kama ameshindwa dhamana basi mpaka jumatatu ijayo
Hii ishu yake ya cyber-bulling asipokuwa makini atachezea miaka mingi gerezani. Anatakiwa athibitishe yale aliyokuwa anayaandika kwa ushaidi usiotia shaka.
Iweje mtu anatukana watu kila siku alafu eti kaenda kuchukua form za kugombea Ubunge hivi nina imagine Mange ni mbunge naona atakuwa anawatukana bungeni kabisa