Nakushauri nenda hospital kajaribunkupima vipimo kwa haraka kabla hujakutwna na madhara ya wazi ,unaonekana unavielement vya uchoko,trust me ,mwanaume kamili hawezi kuandika ujinga wa level hiyo.Mange kimambi ni mfanyabiashara .
Na wateja wake wakubwa ni ambao hata akiwaambia moja jumlisha 3 jibu lake 20 wanamwitikia.
Pakifanyika maridhiano biashara yake inakufa rasmi.
Hawezi kabisa kuridhia maridhiano
Maridhiano kumridhisha nani? Kuwaridhisha waliokufa au kumridhisha nani?Mange kimambi ni mfanyabiashara .
Na wateja wake wakubwa ni ambao hata akiwaambia moja jumlisha 3 jibu lake 20 wanamwitikia.
Pakifanyika maridhiano biashara yake inakufa rasmi.
Hawezi kabisa kuridhia maridhiano
Enheee..... Mange ni changudoa wa wazungu, sawa kabisa.wewe unawashwa makalio, serikali ikae na changudoa wa wazungu kufanya mazungumzo, nyie ndio wale wateja wake nini? Mawazo ya kipumpafu kabisa haya, serikali ikae na mange kufanya mazungumzo kuhusiana na amani ya Tanzania? wewe ni Fala kweli. Nyie fanyeni hayo maanmano bana tusitishane kabisa. Muhimu msiharibu mali zetu tu. December nakaa na mkuki dukani kwangu.
Acha kuwabambikia watu kesi za uongo acha kuteka kuua watu acha uonevu manyanyaso acha wizi acha ufisadi acha mikataba mibovu acha wizi wa kura acha chaguzi za maigizo, acha maovu yote yanayowapelekea watanzania wapenda haki kuichukia Serikali yako ya ccm, Huyo mange kapata ushawishi kwa kupitia machungu waliyonayo wananchi na kama kusingekuwa na machungu manung’uniko mengi Tanzania kusingetokea mandamano na mange asingesikilizwa na mtu, maccm acheni kuwatesa kuwaonea watanzania kwanza kabla ya kuhangaika na mange kimambiEnheee..... Mange ni changudoa wa wazungu, sawa kabisa.
Sasa, kwa nini changudoa wa wazungu amishindeni ushawishi kwa ummaaaaaaa ?????????
Na, Attorney General Johari kasemaaaa.... Mange akisema tunafanya, watu wanafanya kweli! Yani, Mange Kimambi has her finger on the pulse of the nation. Kama muuguzi anavyoweka kidole kwenye koo kucheki kama una mapigo au umeshazima. Mange Kimambi anajua moyo ya wa Taifa unavyodunda kuliko Amiri Jeshi Mkuu, kama tulivyoshuhudia kwenye spichi ya nywi nywi nywinywi. Na ana ushawishi.
Sasa, kaeni na Mange mzungumze.
Hakuna kuongea na mtu yeyote, Samia siyo rais, hatumtambui.Mange Kimambi, ambaye serikali kupitia Mwanasheria Mkuu ilisema ame "engineer" maandamano, amekataa maridhiano kwa kauli kali.
Kwa ushauri wangu, ujumbe wa serikali kuongea na Mange ujumuishe watu wenye heshma na credibility kutoka nje ya serikali. Uwe wa watu wasionuka damu. Hapo panaweza pakawa pa kuanzia.
Walidhani ni wale watanzania wa miaka ya 70...mwaka huu samuya atajua tanganyika ni ya watanganyikaLakini si mlisema hakuna mtanzania wa kuandamana?
Wateja wa Mange alright.Mange kimambi ni mfanyabiashara .
Na wateja wake wakubwa ni ambao hata akiwaambia moja jumlisha 3 jibu lake 20 wanamwitikia.
Pakifanyika maridhiano biashara yake inakufa rasmi.
Hawezi kabisa kuridhia maridhiano
Imetoka hiyo ndugu yangu, Amesha chagua na PM tayari. Sasa anasubiriwa waziri wa mambo ya Ndani, mzee mwenyewe wa matako makubwa BASHITE. Yani huyu akipewa tu mnaanza kutandika kuanzia sasa mpaka tarehe 9 december.Hakuna kuongea na mtu yeyote, Samia siyo rais, hatumtambui.
Mkuu kwani mwenye hayo maandamano ni nani?Kosa kubwa mnalofanya, ni kuamini haya maandamano yalikua ya Mange Kimambi na Maria Sarungi. You guys will do everything, but acknowledging the elephant in the room.
Endeleeni kushupaza shingo!
Van pebles mtu wangu haupo pekee yako humu............
Wanajaribu kupeleka mambo mpelampela km wanakimbizwa huku wana kesi za mauajiMaridhiano na nani? Serikali na waliotekwa/kuuawa?