Mange Kimambi ampigie promo Abdukiba

Rosh Hashannah

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2017
Posts
3,415
Reaction score
2,043
Msanii kutoka label ya king's music inayomilikiwa na Ali Kiba aitwae Abdukiba anatoa wimbo iitwayo Single. Akiwa amemshirikisha AliKiba.

Nimeona vipande vya hiyo video ni nyimbo mbaya haijawahi kutokea. Imerecordiwa na hanscana.

Tusubiri itoke wimbo mzma tuone.

Mange kimambi ana ushawishi mkubwa kwa mashabiki wake (Umoja wa KUmsaport MAnge) amsaidie Abdukiba kama alivyomsaidia Alikiba

Kesho audio na video znatoka. Sina chuki na Abdukiba ila ukweli wimbo mbovu
 
umeipima kwa kutumia mashine gani? ila kama unatumia hisia na utashi basi wako watakaouona ni mzuri pia! ni asili ni kawaida

watu kama wewe ambao wanajiona wakisema ndio wote muuone hivyo mara nyingi ni wabinafsi, washamba, wana inferiority complex, hawajiamini, na wana wivu mkali...kikubwa wanakuwa na element za uchawi, usikute wakati unaandika hiyo post ulikuwa uchi unaroga wote tukubaliane na wewe!!

kweli unakaa na kuwaza kuwa fulani anatoa wimbo kesho utakuwa mbaya???? ww ni rafiki wa abdu kiba, au uko studio au una ukaribu na hiyo familia na una bifu nao

kwa kifupi umeharibu mkuu
 
[emoji106]
 
Sio kila mwenye ushawishi anaeza kubaliwakatika ushawishi wake
 
Kweli mkuu
 
[emoji115] [emoji23] True.[emoji91] [emoji91]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu hapo kwenye "ni nyimbo mbaya haijawahi kutokea " [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Abdul kiba uimbaji wake hauna tofauti na wa Diamond
 
Nyimbo nzuri mbona kwavipande tu vilivyotoka sasa wewe unasema nyimbo mbaya wakati hata nyimbo hujaiskiliza yote watu bwana
 
mlitucheka tulivyotoa Seduce me: mwisho wasiku mkapoteza 50 milion kwenda kununua fake View.
 
Eti wimbo mbovu doooh hapo haujatoka vinanga juu acje akajkuta ana viewers 3k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…