Alijua yupo locationTayari lulu alishapewa ushauri huo ndio maana leo kawakimbia waandishi wa habari
Binti alidhani media na sympathy za mitandaoni zitamsaidia,maana mwanzon wa kesi alikua anaweka nne na kuchat mahakamani ila now kesi imemkalia pabaya adabu zimeanza kumrudi.