BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Ana matatizo gani..can you elaborate clearlyTulishasema Mange ana matatizo wanaomtetea wakaja juu naona tena amedhihirisha tena kichwa chake hakijatulia
Akili yake haiko sawaAna matatizo gani..can you elaborate clearly
Hahahaaa daah alituaibisha sana mshikajiIsho -boy una vituko sana
Kuna comment yako inamhusu Ali kiba na yale mahojiano SA.. Kila nikikumbuka ulivyocomment mbavu zangu zinavunjika kwa kicheko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji16] [emoji125] [emoji85]
Hahahaaa mbona kama umepanic ivYes! Mange alikuchukua demu wa makonda
Hahahaaa! Wala mkuu! Nimeona nimjibu yes..! Sasa mtu hajui kuwa mange mwenyewe ni demu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaaa mbona kama umepanic iv
Mbona unauliza rhetorical questions?Kwahiyo kutumia madawa ni kosa?
Kuna watu ushabiki unafanya uwezo wao wa kufikiri unakuwa mdogo sanaMbona unauliza rhetorical questions?
Mambo ya ki siasa zaidi. Nafikiri IGP anaelewa jinsi ya kumkamata mtuhumiwa wa madawa ya kulevya na procedure nzima ya jinsi ya kufanya mahojiano. Siyo kwamba polisi walikuwa Wanashindwa kuwakamata la, ila haya mambo ni very sensitive ukikamata watu hovyo unaweza kupoteza ushahidi na kufanya wahusika wakuu wapotee. Nijuavyo mimi mara nyingi kwenye issues sensitive kama hizi inakuwa hakuna media mpaka itakapokuwa confirmed.Kwan Makonda ndio anawahoji??? [emoji23] [emoji23] Drug abuser n yeyote yule, anae uza, sambaza na mtumiaj.. hilo n moja.. pili ukimkamata mmoja kati ya yeyote, n mwanzo wa kutatua tatizo... Mtuamiaj atamtaja anae muuzia, muuzaj atasema anayapata wap, hvyo hvyo mpk chain inafika mwsho, usije dhan watu hawana akil, ama wamekurupuka tu, usije dhan hivyo kabisa... Naona IGP nae kaunga mkono... kaungana na Makonda
Waache wenye kazi zao wafanye kazi zao... Mwanzon mwa mwez December walitangaza vita dhidi ya watu wa bangi, kila wakikamata wanatangaza... mbona hawajapoteza ushahid, mwez umeisha mkonon wana watu 7000 wa kes za bangi peke yake.... waache wafanye wanacho kijua wao,Mambo ya ki siasa zaidi. Nafikiri IGP anaelewa jinsi ya kumkamata mtuhumiwa wa madawa ya kulevya na procedure nzima ya jinsi ya kufanya mahojiano. Siyo kwamba polisi walikuwa Wanashindwa kuwakamata la, ila haya mambo ni very sensitive ukikamata watu hovyo unaweza kupoteza ushahidi na kufanya wahusika wakuu wapotee. Nijuavyo mimi mara nyingi kwenye issues sensitive kama hizi inakuwa hakuna media mpaka itakapokuwa confirmed.
Nchi za wenzetu waki ku suspect inawachukuwa muda kukukamata watakufuatilia mambo yako unaishi na nani, unafanya shughuli gani, rafiki zako nani unapenda kutembelea wapi na pia wanaweza kuwahoji hao watu wako ki trick bila kuwaudhi na bila wenyewe kujua kama wanafuatiliwa. Hata wewe mwenyewe unaweza kuhojiwa bila kujua ndiyo maana wakikamata hawakosei. Hii kazi tukubali kwamba ni ya ma detective.
Aaaaah Belo tararibu mkuu,mimi nina ushabiki gani kwa huyo Wema au Mange?Kuna watu ushabiki unafanya uwezo wao wa kufikiri unakuwa mdogo sana
Nna wasiwasi huyu nifah ndo mange kimambi hiyo nifah ni jina feki tu [emoji124] [emoji124] [emoji124]Hivi kutumia madawa ya kulevya ni makosa kisheria?
Na kama anasemekana anauza amekutwa na uthibisho?
Mtu anaitwa kuhojiwa kwa tuhuma za kutumia madawa ya kulevya? Like serious?
Hata wale madon wa unga huwezi kuwaita kuwahoji kisha ukawatia hatiani bila uthibitisho.
Makonda hajui anachokifanya
Period
Ni kweli kuwa hujui kukutwa na madawa ya kulevya ni kosa?Aaaaah Belo tararibu mkuu,mimi nina ushabiki gani kwa huyo Wema au Mange?
Sio kila post yangu imekaa kishabiki,naandika kile kilichonijea akilini.
Period