[emoji28]Warumi alikuwa zamani, sikuhizi kafulia hadi anatuletea zilipendwa. Anyway nilikuwa napita tu kwenye huu uzi wa wanaume wa Dar
Hahahh vibaya hivyo labda warumi ndo kaiona leo iyo videoDuu umetoka jela nn?mbona almost 3 weeks hiyo video
Kupatwa kwa warumi [emoji28]binamu umepatwa na nini?
au umehamia Dodoma??!
tetemeko la warumi!Kupatwa kwa warumi [emoji28]
Umeshafeli tayari [emoji13][emoji13][emoji13]Aaah ebu nitumie video nivunjike mbavu mie, niwashindanishe na akina Dinazarde na Heaven on Earth kucheza inde
nambie wangu!Binamu
Weka Picha.Inde ni noma kweli,hata mimi huserebuka kinoma noma.[emoji12]
Acha kukariri.Weka Picha.
Mwenzio hakuweka maneno tupu kama hivi..aliweka video watu waone..na wewe ungeweka japo tupicha tuwili tutatu tuoneAcha kukariri.
Mimwenyewe niliupenda baada ya kumuona Mange akicheza. Yule ajakonda amejikondesha to still look attractive.
binamu hapa kusoma nimeshangaa sana kama binamu anasiku nyingi hakuingia instaMwanamama maarufu mwenye haiba ya kipekee mjini, mange kimambi, hivi karibuni aliwaacha mashabiki wake midomo wazi baada ya ku post video akicheza wimbo wa mwanamuziki mkongwe nchini, dully Sykes uitwao INDE. mwanamama huyo alionyesha umahiri wake kwa ku dance kwa mbwembwe na madoido akiwapa tafsiri mashabiki wake kuwa mambo yake super na hana stress baada ya ndoa yake na mzungu kuota mbawa .
Hata hivyo baadhi ya mashabiki wa mwanamama huyo wametafsiri kitendo hicho kama ni stress zinazomsumbua na alikua anajaribu kujifariji kwa kucheza wimbo wa mwanamuziki huyo na kusifia ujio wake mpya.
Binafsi hata mimi nimetokea kuupenda wimbo huo wa dully Sykes kwani unaburudisha na kuondoa stress, kama unabisha jaribu kuusikiliza peke yako chumban kama hujajikuta unakata mauno bila kupenda, shikamoo mange