Mange Kimambi: Babu Seya bora anyongwe mpaka afe kifungo cha maisha walichompa ni kidogo sana

Status
Not open for further replies.

brigedia mafia

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
2,260
Reaction score
2,279
1474825580651.jpg

Mwanadada Mange Kimambi amefunguka kwa hisia kali kabisa kuwa anatamani aone babu Seya ananyongwa mpaka kufa kwa kuwa adhabu ya kifungo cha maisha walichompa ni kidogo sana kulinganisha na kitendo kichafu alichowafanyia watoto

Mange amefunguka kama mzazi amesema kuwa angekuwa yeye amebakiwa mtoto wake wa kike aliyekuwa naye asingekubali hata kidogo angesimama kidete mpaka ahakikishe mtuhumiwa anayongwa mpaka kufa

Mange akaendelea kusema hawezi hata siku moja akamuonea huruma babu Seya kwa kuwa ushahidi upo wazi kabisa na anashangaa watu wanaomtetea babu Seya

1474823426157.jpg
 
View attachment 406724

hance mtanashati [HASHTAG]#siyo[/HASHTAG] mtu wa mchezo mchezo #
Mi kwa kweli namshukuru Mungu,Page nikiona haiendani na mimi naipotezea huwa silalamiki kwa mtu.
 
Wakongo wanatabia chafu sana!Hayo yaliyofanywa na babu Seya yamekithiri sana shule za msingi hapo dar.Usiombe mwanao afanyiwe uchafu huo ataharibika milele itakua ndiyo tabia yake
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom