Mange Kimambi: Babu Seya bora anyongwe mpaka afe kifungo cha maisha walichompa ni kidogo sana

Status
Not open for further replies.
if ua nt sur mbn unaongea kwa hisia hvy coz kama uhakika ungkuwep toka mwanz czan kama mdg wao angetumikia kifung cha miaka kadhaa gerezan mpka rufaa ilipotolew ndio kuonekana hana hatia
 
Hii kesi ni ngumu ni sana hata kuiongelea inakuwa ngumu,nani mwenye uhakika kuwa walibaka


Na ni nani mwenye uhakika kwamba HAWAKUBAKA wala KULAWITI ?

-Kaveli-
 
Imeshapita na mahakama ilifanya kazi yake
 
She is right 100% mleta mada unaonekana unatatizo binafsi labda kama hauja elewa anacho maanisha
 
Si ilisemwa kwamba watoto waliobakwa waliambukizwa VVU, hivi mtu mwenye VVU anaweza kukaa jela muda wote huo na msongo wa mawazo ya jela bila afya yake kutetereka?
 
Mange ni mnafki sana, si yeye ndyo alkuwa anasapoti ushoga huyo na inakuwaje leo hii aone uchafu?
 
mimi hii kesi ya babu seya huwaga siielewi kwakweli...
kwa sababu naonaga kuna watu wengi sana mitaani wanawatetea hawa watuhumiwa..

ilihali wanatuhumiwa kubaka...

sielewi kwanini wanasema wamebambikiwa kesi, kuna ushahidi gani?
na kwanini wasiende kuutoa?

je hao waliobakwa hawapo?
hawakuthibitisha?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…