Sasa unalaani nn kitu usichokijua wala kuwa na uhakika nacho,,? Nyumba unayokaa mume,mkeo,wanao,mama yako na baadhi ya ndugu,halafu ufanye uchafu huo varandani,,??!! Unaamini kuwa mkewe alikuwa anafumbia macho au aliruhusu uchafu huo ufanyike ndani kwake, Kwa idadi yote ile ya wahanga waliodai kufanyiwa hivyo,.? Unataka kuniambia hakuna watoto wanaoweza kuongea Yale waliyoyaongea kwa kufundishwa,?? Sipendi kutolea mifano ya watoto wasanii kwenye luninga maana utasema ni kipaji cha usanii kilichopo ndani Yao, Lkn vp watoto wadogo ambao leo tunawaita panyaroad sijui na wengineneo ,kama hao wanaoweza kushika mapanga na kufanya makubwa wanayoyafanya, vp tukatae kusema hata wale huenda labda walikuwa mahususi ktk mafunzo ya kutoa ushahidi wa uwongo kwa malipo,? Na yasemekana kuwa kuna dhana ya kwamba mtoto mahakamani ushahidi wake hauna shaka,kwa maana hiyo unategemea nn kwa kina Kibakuli a.k.a wasanii,,?? Ulipikwa vizuri ukapakuliwa