Mange Kimambi: Diamond akiamua kumrudia Zari wakati wowote Zari hachomoi

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
1,393
Reaction score
3,237
Mwanamtandao mashuhuri na machachari Afrika Mashariki based in LA Mange Kimambi amesema Zari bado hajamove on na kumuacha Diamond Platnumz.

Akichangia post mojawapo Instagram kwenye page ya the realorinalist iliyokuwa ikimsifia Zari kwa kumove on na kuachana na Diamond Platnumz Mange amesema si kweli kuwa Zari amemove on badala yake Diamond akiamua kumrudia wakati wowote anampata na Tukinao hachomoi
 
Peleka mambo ya udaku huko!!
 
Sasa hivi utamsikia Mange akisema Magufuli ndiye aliyemuua dada yake ili apate umaarufu. Haka kademu kwa kikii jamani nafikiri anaongoza Tanzania nzima. Mi nilifikiri ameshajiua tayari baada ya kupata haibu ya yale maandamano yake fake aliyoyaita mapinduzi ya karne. Kugegedana na baba mzazi ni laana tupu jamani.
 
Back
Top Bottom