Mange Kimambi: Diamond akiamua kumrudia Zari wakati wowote Zari hachomoi

bi. Mange kaambiwa kufanya siasa ni mpaka 2020
 
Tunakumbushana tu wadau,Mange kabakiza siku 31 Tu - Sheikh Allad
 
Kumbee hata jf Kuna vilaza wengi.

Nikiiona post inazomhusu huyu chawa mange nahisi kutapika.
 
Ila uzuri hata nyie mnakubaliana nae kimoyomoyo. Huo ndio ukweli
 
Mange ni kiongozi wa mataahira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…