[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mahabaaa....
(Usiniue pls)
Ewaaa... nakuahidi sitaenda gym wala coco beach wala bungeni Dodoma. Mi ni mzawa na mfia Kolomije. Jina langu babu Mashiguntwe Masanja....Babu usiende Gym, nitakutengenezea bembea home[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
CC : Kopi kwa Bibi
Nikajua ntajibiwa kwa kaKiss... nna bahati mbaya mimi. Sijui kwanini wamemteka Mo wakati mi niko huru hata kujiteka...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo sawa Babu wajukuu zako tutaendelea kufaidi hadithi, soga kutoka kwako hadi na sisi tutakapopata wajukuu ndio utastaafu hiyo kaziEwaaa... nakuahidi sitaenda gym wala coco beach wala bungeni Dodoma. Mi ni mzawa na mfia Kolomije. Jina langu babu Mashiguntwe Masanja....
Hahahah usinambie huwa unasoma gazeti la Nipashe. Nimeacha kuandika hadithi siku hizi... nagonga nyagi tu hivi sasaHapo sawa Babu wajukuu zako tutaendelea kufaidi hadithi, soga kutoka kwako hadi na sisi tutakapopata wajuu ndio utastaafu hiyo kazi
Usizidishe hicho kichangamshi maana utakuwa unaoana barabara ya njia 6 kwenye barabara ya njia 2, mwishowe utajikidnaped[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hahahah usinambie huwa unasoma gazeti la Nipashe. Nimeacha kuandika hadithi siku hizi... nagonga nyagi tu hivi sasa
Amepakatwa au alikuwa anacheza LAP DANCE?Naona katika ukurasa wake wa Insta amepost akiwa amepakatwa na mwanaume aliyemficha sura.
God forbid!Usizidishe hicho kichangamshi maana utakuwa unaoana barabara ya njia 6 kwenye barabara ya njia 2, mwishowe utajikidnaped[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wazungu wengi wanapenda wanawake wembamba kama Mange , plus mange she has a class and she is educated , sema tu shoga Yule damu ya uswazi ipo kwenye DNA mwanamke Ana mdomo mchafu
Babu unataka nitekwe [emoji23][emoji23]Nikajua ntajibiwa kwa kaKiss... nna bahati mbaya mimi. Sijui kwanini wamemteka Mo wakati mi niko huru hata kujiteka...
Wala hata hapaki makeup nyingi,kuna watu wanapaka makeup wanakuwa kama majiniHizi make ups hizi. Mange kama Naomi Campbell, na alivyokibinua dah.