Mange Kimambi is in love once again !!

Hizi make ups hizi. Mange kama Naomi Campbell, na alivyokibinua dah.
Umeona ee?

Nikasema huyu Mange au Naomi Campbell?

Much success to her and her newfound love.

Siku za awali kabisa. Kabla Mange hajawa a househild name na national pariah, nilikuwa nimekaa na mshkaji nambonda Mange.

Nikashtuka mshkaji kanigeukia mara moja.

Kuja ku find out, mshkaji kapita hapo zamaani tu.

Tangu siku hiyo najitahidi kuona pande positive za watu sana tu. Na kuwatakia mema. Waepushwe na shari. Washinde majaribu. Waweze kuwa na amani.
 
Wazungu wengi wanapenda wanawake wembamba kama Mange , plus mange she has a class and she is educated , sema tu shoga Yule damu ya uswazi ipo kwenye DNA mwanamke Ana mdomo mchafu
hahaaa warumi wewe mdomo mchafu huna ""? Au fujo zako huwa zinaishia humu tu ...?
 
Ila jamani tuseme tu haka kadada kanafaa. Kamwili vimacho khaa. Ashanitia hasira tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…