Mange Kimambi kitanzini

Mange Kimambi kitanzini

Status
Not open for further replies.

maatope

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2013
Posts
1,422
Reaction score
957
Inaonekana mwanadada alikanyaga miguu ya wasiopenda kuzenguliwa, kuna siku alimchana ma mvi siku nyingine akasema yule kijana anayekusanya ushuru Ubungo anayeishi South Africa anauza unga wa sembe, leo nafungua nakutana na hii kitu...duh!

Screen shot 2015-06-11 at 11.35.00 PM.jpg
 
Afu mi mwenyewe sielewi elewi hivi!maana nimefungua nikakutana na mdoli tu!
 
Wamueke kitanzini tu anaongea sana ka chiriku kila kitu anajua
 
inaonekana mwanadada alikanyaga miguu ya wasiopenda kuzenguliwa,kuna siku alimchana ma mvi siku nyingine akasema yule kijana anayekusanya ushuru ubungo anayeishi south africa anauza unga wa sembe,leo nafungua nakutana na hii kitu...duh
View attachment 259328

Kama ulisha komenti kakupa ban huyooooo au?

Anapiga bloki wengi wanaompaga facts za ukweli na hapendi huyo kuonekana kuna wanaojua zaidi yake.
 
Kama ulisha komenti kakupa ban huyooooo au?

Anapiga bloki wengi wanaompaga facts za ukweli na hapendi huyo kuonekana kuna wanaojua zaidi yake.

siwezi ni ka comment kule sababu most of the time g mail na facebook huwa ziko logged in so jina likidisplay kwa yule mwehu itakuwa matatizo tu,labda kafanya hivi mwenyewe ili watu wacheke halafu kesho arudi hewani kwa mbwembwe na kujisifu kuwa hazuiliki
 
Ok poa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom