U-turn Blog | u turn blog
huyo bado anadunda,nyie bando zenu zina kwashakoo
inaonekana mwanadada alikanyaga miguu ya wasiopenda kuzenguliwa,kuna siku alimchana ma mvi siku nyingine akasema yule kijana anayekusanya ushuru ubungo anayeishi south africa anauza unga wa sembe,leo nafungua nakutana na hii kitu...duh
View attachment 259328
Kama ulisha komenti kakupa ban huyooooo au?
Anapiga bloki wengi wanaompaga facts za ukweli na hapendi huyo kuonekana kuna wanaojua zaidi yake.
siwezi ni ka comment kule sababu most of the time g mail na facebook huwa ziko logged in so jina likidisplay kwa yule mwehu itakuwa matatizo tu,labda kafanya hivi mwenyewe ili watu wacheke halafu kesho arudi hewani kwa mbwembwe na kujisifu kuwa hazuiliki