Mange kimambi kugombea ubunge 2020?

Ndugu wa hivi heri umchemshe supu mana kwa afya yke ni kma unakunywa supu ya kongoro
 
Umemaliza mdau[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Hebu wa review hizo sifa za kuwa Mbunge, tangu Kingwendu agombee kila mtu sasa anataka.
 
Ataendelea kuchukua fomu za ubunge tu kama alivyofanya 2015, lakini kuitwa mbunge itakuwa ngumu sana sijui kampeni atafanya wapi huyu jinsi anavyosubiriwa kwa hamu kama kakakuona,
 
Eti Mange naye anawania Ubunge,dah,kweli WaTz tumedharaulika.
Akijibu hoja ya kwa nini hachukui uraia wa USA,Mange kupitia ukurasa wake wa Instagram alijibu anaogopa kuukana uraia wa Tanzania kwani atapoteza ndoto yake ya kugombea ubunge 2020
 
Tuwe wakweli huyo Dada anasifa zote za kugombea ubunge kupitia ccm.
 
Nahivi anakigugumizi nasubiri ajinadi nimsikie. Mange anajua kuandika tu na si kuongea.
Watu wenye vigugumizi wanapenda sana kuongea ila ndo basi tena wamekunjwa ulimi kidogo...

Kigugumizi cha mange huwa kinamtia machungu, anahamishia hasira zake kwenye kuandika!
 
Huyu hajapata bwana wa kusugua ahh america kuna wazembe
 
We scalethat uanze kupack na mabegi kabisa. Wenzio Marekani walijidai "ohhh Trump akishinda nahamia Canada" blah blah blah. Sasa hivi wanaifikiria safari ya Canada alafu picha inagoma kabisa kuja!!!
hahahaaaaa ikinishinda ya kuhama bongo basi ntaenda kijiji kisicho na umeme wala redio........mh huyu bnadamu kuupata ubunge bongo ni ndoto ya mchana
 
hahahaaaaaa nazani humjui vizuri.....taratibu na kauli zako atakufanya uuone mji mchungu huu.simpendi mm hadi naogopa utasema namjua
 
Aisee huyu Mange agombee tu, mbna hata kampeni ntamsaidia. Namkubal san huy sister
 
Nmeona.mtu.anajadiliwa hapa.nisie mjua nikaona.ngoja nikamsome hukohuko insta

Mbona anaonekana n km mwanamke flanambae akili yake n dk2 mbele??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…