Mange Kimambi matusi yake yanawadhalilisha wanawake ajabu wanayashangilia

tramadol

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Posts
5,383
Reaction score
4,323
Maajabu kwa baadhi ya wanawake wa kitanzania pamoja na matusi yote ya Mange hasa yakiwalenga wanawake lakini hao hao ndiyo wapambe na mashabiki wakubwa wa mwanadada huyo.

Ndiyo maana na yeye anaendelea na anapenda sana kuandika matusi mitandaoni kwasababu wapenzi wake wapo hasa hasa hao wanawake wenzake.

Mange anahitaji ushauri wa kisaikolojia ili akili yake itulie hasa kukosa ubunge wa viti maalumu na kupewa talaka kumemchanganya sana.

Mlioko karibu naye msaidieni huyo Mtanzania anayejifanya ni Mmarekani.
 
Kwa kweli angeacha matusi message zake zingewafikia wengi na yeye angepata ujiko na heshima zaidi, ila matusi yake makali mno, hajali hata akijitukana yeye na viungo vyake, wanawake wenzake, mama zetu, shangazi zetu, dada aetu, watoto wetu wa kike na hata wanaume! Aache matusi amwage hoja, hapo utaona watu watakavyompenda zaidi...
 
Maajabu kwa baadhi ya wanawake wa kitanzania pamoja na matusi yote ya Mange hasa yakiwalenga wanawake lakini hao hao ndiyo wapambe na mashabiki wakubwa wa mwanadada huyo.

Ndiyo maana na yeye anaendelea na anapenda sana kuandika matusi mitandaoni kwasababu wapenzi wake wapo hasa hasa hao wanawake wenzake.

Mange anahitaji ushauri wa kisaikolojia ili akili yake itulie hasa kukosa ubunge wa viti maalumu na kupewa talaka kumemchanganya sana.

Mlioko karibu naye msaidieni huyo Mtanzania anayejifanya ni Mmarekani.
Viva Mange

Ubuyu na Kazi, hadi waombe poo!!!
 
Halafu unakuta eti wanaitana kabisa "unapitwa huku" ..."jamani mkuje huku"

Yaani watu wanaitana kuja kuona matusi na hapo vimesemwa viuongo vyao, ajabu sana
 
Back
Top Bottom