utamchamba au sioHapangiwi cha kupost ila asije akarogwa akaingia kwenye anga zangu
Hahaa haingiagi anga za mtu bila taarifaHapangiwi cha kupost ila asije akarogwa akaingia kwenye anga zangu
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hivi kweli hujui nani anahitaji ushauri wa kisaikolojia kati ya Mange na Mwenyekiti?
Hivi kweli hujui nani anahitaji ushauri wa kisaikolojia kati ya Mange na Mwenyekiti?
Umejuaje tramadol ni mwanamke, humu hakuna ukweli na uwazisimu ni yake utampangiaje cha kupost? jipange upya dada
Unatafuta kiki kwa Mange? Anajadili watu wa maana sio mama yeyote wa BuguruniHapangiwi cha kupost ila asije akarogwa akaingia kwenye anga zangu
Kwani we ni nani?????Hapangiwi cha kupost ila asije akarogwa akaingia kwenye anga zangu
Viva MangeMaajabu kwa baadhi ya wanawake wa kitanzania pamoja na matusi yote ya Mange hasa yakiwalenga wanawake lakini hao hao ndiyo wapambe na mashabiki wakubwa wa mwanadada huyo.
Ndiyo maana na yeye anaendelea na anapenda sana kuandika matusi mitandaoni kwasababu wapenzi wake wapo hasa hasa hao wanawake wenzake.
Mange anahitaji ushauri wa kisaikolojia ili akili yake itulie hasa kukosa ubunge wa viti maalumu na kupewa talaka kumemchanganya sana.
Mlioko karibu naye msaidieni huyo Mtanzania anayejifanya ni Mmarekani.