Mange Kimambi matusi yake yanawadhalilisha wanawake ajabu wanayashangilia

Halafu unakuta eti wanaitana kabisa "unapitwa huku" ..."jamani mkuje huku"

Yaani watu wanaitana kuja kuona matusi na hapo vimesemwa viuongo vyao, ajabu sana

Kumbe na ww huwa unafatilia eeh
 
Aliyewaambia kwamba Talaka inatia ukichaa kawadanganya, afanyacho Mange ni akili yake tu imemtuma lakini si sababu y talaka maana Mange tabia ya Bully watu hajaianza Leo wala Jana tangu yupo kwenye ndoa na baada ya ndoa,labda inaonekana kwa sasa sababu smartphone zimekua zinauzwa kwa bei ya kimasikini zaidi inayosababisha kuzagaa!
 
Mtumie DM kama unataka kumsaidia kwa ushauri.
 
Utakua mwanamke mwenzake umejuaje yote hayo
 
Hapangiwi cha kupost ila asije akarogwa akaingia kwenye anga zangu

ahahha ahahaha ahhahhaa

nimecheka kwa sauti, mpaka mbwa wa jirani kabweka...

au ndio wewe uliyeitwa kahaba wa serikali ya awamu ya tano?????
 
Aingie anga zako unatumia id fake humu, nenda instagram umwambie hayo maneno
ahaha ahahah ahaha....

inabidi atege mtego huko insta....

kwanza mtoa post anaonekana muoga
 
Mwenyekiti nani, Mbowe, Lipumba,MremaMagufuli
Iko wazi, kati ya hao uliowataja kuna mmoja anahitaji msaada wa kisaikolojia sana maana hata kwa kumtazama tu unagundua kabeba ZIGO ZITO.
 
Usijifanye Mange unamjua sana na wewe una pesa nyingi na kudharau wengine. Mange wa zamani si Mange huyu mshenzi tu na matusi kila post yake kwa viongozi.

Na kujifanya kwa vile anaishi Marekani basi anaweza kutukana mtu yoyote Tanzania.

Dawa yake inachemka ipo siku tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…