Hahahaaa,ndio maana akaolewa zake na mzungu maana aliyaona yote haya.Wanaume wa kibongo wanapenda mabantu sana.
Aisee.. nifah hebu tuwekee Wezere lako tulione mtoto nasikia mashallah.....
figa ya kazi...tatizo hayo manywele...mi yananikataga stimu kweli...shortly wangu natamanigi nimuambie suka nenda kilioni hiyo hela inayobakia abaki nayo mfukoni nimempa...ila siku nitamchana live...
Aisee.. nifah hebu tuwekee Wezere lako tulione mtoto nasikia mashallah.....
Hapo hamna manyama uzembe na ma-obesity
Ila picha ya zamani
wenzako wanapenda manyama uzembe sa sijui sie vimbau mbau tupendwe na nanii..
Inategemea ntu na ntu
eti eeh
Nawe wakikuzingua nitafte fasta, mi siangalii mwili. Kama sifa zote za mwanamke unazo, kazi imeisha
Waacheni vimbau mbau kama huyu waje kwangu kwa maana utamu wao naujua vizuri..[/QUOT
Disastor
Hizo picha ni za zamani. ila huo uportable naupend, kila kitu kwa kiasi tu. Minyama iliyojikusanya kusanya mwilini wala sio dili
Wakora iwe bojo .. bukoba hawjambomanyama nyama kwanza ni uchafu tuu...mianamke mingi yenye mitako tako inakaharufu fulani hivi...portable ndo mpango mzima..zunguka dunia nzima kama utakutana na mtu na pesa yake kaoa li mitako tako....hao ni huko huko afrika kwenye umasikini!!!