Mange Kimambi vs Le Mutuz katika Beef Zito kisa Dr. Mwaka

Status
Not open for further replies.
Kweli kabisa, amshitaki kama kamchafulia jina, unless le bahariaz anamuogopa Mange

- Nia na madhumuni yangu ilikuwa kumtetea Majizo hilo limefanikiwa kwa 100% mengine sio muhimu cause niliyajua kabla ya kuubeba msalaba wa Majizo

le Mutuz
 
Ninachompendea huyu jamaa hana hasira kabisa kitu ambacho wengi kinatushindaga.
 
- hahahaha you got that right you know how I get a kick when haters are crying wolf! wolf! hahahaha Salute Maniga

le Mutuz Nation
ahahaaaa le mutuz pls
hivi le mutuz mbabe wako hapa town nani? nani a naenjoy view ya le super apatment pale upanga?
 
Kuhusu apartment kua Ya Juma anaweza kua yeye ndio aliipanga mwanzo ndio kumpa uyo will ...lakini pia lemutuz ni muongo Izo apartment za NHC haziuzwi aache kuwaongopea watu ni zakuishi tu na kulipa kodi... Apartment nhc wanazouza ni hizi mpya wanazojenga kila sk
 
mhhh mm sina usemi maana mange naona ni kama tv yangu ya insta maana kila kitu napataa
 
- Nia na madhumuni yangu ilikuwa kumtetea Majizo hilo limefanikiwa kwa 100% mengine sio muhimu cause niliyajua kabla ya kuubeba msalaba wa Majizo

le Mutuz
ok..boy majizo ni mshkaji wako sana..au ni partner wako wa business
 
sasa kumekucha, ssa kumekucha jogoo limekwisha wika chimwagaaaaa, sasa kumekucha jogoo limekwisha wika bagamoyoooo, sasa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…