Mhh, huyu dada na maneno ya Mange kuwafundisha wenzake jinsi ya kuwawinda Wanaume wenye hela zao yaani Mabuzi au Wadhamini in English (Sponsor) yako kama chanda na pete. Yameiva kwa kukalangizwa hasa. Maneno ovyooo ila wimbo nimeupenda sana hasa sauti ya bibie na instruments zimetulia....
Nasikia huu wimbo umepigwa marufuku USA kisa unafundisha mabinti kuwa ma Golddigrers.
Weekend njema wote, buy buy byeeee......
Bibie na Jaguar alilolipata kwa kuolewa na Mthungu.....Bahati ya mwenzio....
Nyani acha kuudanganya umma, Congress ishaweka law za namna hiyo re patriotic act vs ugaidi duniani!
Kwa hiyo ni speech gani ambazo ziko forbidden kwenye patriotic act?
Unataka nipigwe PI?
Acha kuwa fisi bana....ni speech gani zilizopigwa marufuku na patriotic act?
Zinazofanana na kigaidi!
Ndio maana masalo kama wewe mko kwenye orodha ya magaidi
Mandela naye Masalo?
Ni elder statesman...walichemka kutokuliondoa jina lake.
Kumbe huwa wanachemka sasa inakuwaje unadiriki kusema kwa uthabiti "Congress shall make no laws abridging the freedom of speech"?
[COLOR=darkorchid said:Nyani Ngabu;967999]Kwani hayo ni maneno yangu au yaliandikwa na lizungu lililokwishakufa zamani za kale...?[/[/COLOR]QUOTE]
kwa vile umeamua kuyatumia, moja kwa moja utakuwa unayakubali, hata yakiitwa yako ni sawa tu......eti!
Bibie na Jaguar alilolipata kwa kuolewa na Mthungu.....Bahati ya mwenzio....
sasa,ni bahati kuolewa na 'mdhungu' na kupata jaguar?????mbona nyinyi waafrica mnajidhalilisha?wanaume wa kiafrika si wanaume au?halafu wanawake wakiwakataa mnalalamika...!
Mzungu ni Binadamu tu kama wengine. Hata kama angelikuwa kaolewa na FISADI na akapewa gari kali kuzidi hilo au kigari chekundu, bado tungelisema kapewa kwa kutumia nguvu ya tunda la mti wa katikati. Sasa kama kapewa na Mthungu na yeye mwenyewe kasema hivyo, wewe unataka tupindishe?
Mbona unawababakia sana Wazungu? Ni watu wa kawaida kabisa na ukiwaona wee jua kuna mijinga kibao ambayo wengine hadi huwa tunaitunakana. Acheni kuwaogopa Wazungu kiasi hicho.
Kuhusu watoto weusi, mhhh!!!! Kwani nikiwa Tz leo Mange atanikataa? Una uhakika gani kuwa watoto weusi wanakataa vijana weusi? Mie nilishakutana na dada kibao ambao hawataki kabisa Wazungu kwani wanadai vibamia hawahusudishi. Na hata ukikuta kigongo kikubwa basi huwa vimelegealegea na haviwi vikakamavu kama Service man wa Mlale JKT enzi za Mtono. Pia kumbuka akina dada weusi huwa wanakuwa na Wazungu kwa sababu mbili kubwa yaani:
1. Wanataka pesa za Wazungu.
2. Wanataka kuonja Wazungu (hata mie ningelipata nafasi, nsingelisita kufanya hivyo na dada wa Kizungu).
Amini usiamini, Wazungu wengi pia hukimbilia wanaume Weusi kwa kufahamu kuwa tumejaliwa kamguu ka mtoto kati ya miguu.
wanaypyafanya ili kupata hayo ma 'jaguar' asikwambie mtu,bora yabaki kuwa siri yao...ni mazito,hata wewe huwezi fanya nakwambia.so,usimwonee wivu mtu aliye na kitu fulani,hujui 'alivyopigika' kupata hivyo vitu.