Mange Kimambi yumo humu JF....

MAJINGA SANA HATA MIMI HUWA YANADAI ETI MI MWANAUME .MARA NINA ID KIBAO YAANI HUWA SIWAELEWI
HATA KAMA NINGEKUWA WA KIUME NAWAHUSU NINI? YAANI MTU ANAWASHWA TU KUMUATTACK MTU PERSONALLY HUMU YANANIKERA SANA HAYA MADOGO KIBOKO YAO NDALICHAKO *****
sijawahi kuona mwanamke mwenye wivu kama wewe.wenda mybe strange.


swissme
 
Ahahaaaaaa sasa NN kwa nini unataka kujikana bana?

We mtambo kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Siku usipokuwa na shift ya kulinda usiku unakuwa msumbufu kinoma.....oooh sorry kumbe leo siyo siku ya club.
 
Siku usipokuwa na shift ya kulinda usiku unakuwa msumbufu kinoma.....oooh sorry kumbe leo siyo siku ya club.
Nyani Ngabu ooo...CHARMILTON ni Nyani Ngabu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nyani Ngabu ooo...CHARMILTON ni Nyani Ngabu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe kuwa na ID 1 au 1000 siyo issue kwangu.....kuna watu wengi mno nawafahamu wenye multiple IDs[usiulize nilijuaje].....jambo ambalo kwa upande wangu ni sawa maana sioni tatizo lolote....kwahiyo wewe kusema ID yangu ni yako kama njia ya kuwaziba midomo wanaoku-suspect ni kujichosha bure.
 
Bro ilikuwa inatoa degree hata mtoto(suzan john) wa magufuli kasoma hapo na alikuwa anaongoza hicho kitengo
 
Huu uzi bhana! Watu wameanza kutipiana makonde wenyewe wakaacha kumjadili muhusika!!
Kweli huyu mtu ana damu kali aaaaaarrrrgh
 
Ivi mnamjua mange kweli? ...mimi siamini kama yupo umu!...kama yupo labda hajaona izo post zenu! Maana hapendwi kupitwa na jambo..lazima angewajibu
 
Hivi kwanini hachukuliwi hatua???

Au wanampuuza tu na maujinga yake...

Au kuna kifungu cha sheria kinachomlinda?

Anaejua plz[emoji19]
 
Ogopa sana kuzaliwa kwenye familia bora alafu baadae kwenye utu uzima mambo yakuendee kombo,unaweza kuchizi au kudevelop masochism!
 
CHARMILTON ni Nyani Ngabu [emoji23] [emoji23]
 

Serikali ikiamualia ikimualia , endelea kuota , anazaidi ya miaka 5 anatukana watu tu na mkuu wetu wasasa asivyopenda kujaribiwa unadhani angevumilia udhalilishaji anaoufanya Mange kule insta?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…