Mange, you don't look good by making others look bad, jitathmini!


Ulitaka ziwekwe lebo ya jina lake? Jiulize ni chupi za watu wangapi zimetolewa kwenye picha.
 
Ulitaka ziwekwe lebo ya jina lake?

Exactly my point.

Kilichopo ni picha tu, basi.

Sasa ni nini katika hizo picha kinachothibitisha kuwa ni za Mange na si za mtu mwingine?

Saying it so doesn't make it so.

Kwa maneno mengine, kwa vile kuna mtu mwenye bifu na Mange ndo kaziweka hizo picha na kusema ni zake, hiyo pekee haimaanishi kweli ni zake.

Watu wakiwa kwenye mabifu huambiana maneno ya kila aina na mengi huwa hayana ukweli wowote.

Jiulize ni chupi za watu wangapi zimetolewa kwenye picha.

Siwezi kujua kwa sababu sina jinsi ya kujua kama ni kweli ni za hao wanaodaiwa kuwa ni zao au la.

Kusema tu ni za Mange haimaanishi kuwa ni zake kweli.

Hata mimi hapa naweza kusema hizo chupi ni zako.

Lakini je, kusema kwangu huko ndo kunazifanya hizo chupi ziwe zako kweli?
 
Ulitaka ziwekwe lebo ya jina lake? Jiulize ni chupi za watu wangapi zimetolewa kwenye picha.
Mnapata faida gani kwa ku entertain ujinga kama huu? Chupi za mtu zikiwa safi au chafu zinaingiza kiasi gani kwenye akaunti yako. Mbona wanawake wa kitanzania mmekuwaa maandazi kiasi hiki?
 
Mnapata faida gani kwa ku entertain ujinga kama huu? Chupi za mtu zikiwa safi au chafu zinaingiza kiasi gani kwenye akaunti yako. Mbona wanawake wa kitanzania mmekuwaa maandazi kiasi hiki?

Kama ile faida anayopata mwenye chupi chafu kutukana watoto wa wenzie.
 
Yaaan ukiona mkeo yupo instagram, jipange na ujitathimini mnoooo
 
Mimi nilistuka mzungu mkwanja sio mrefu kama madame alivyokua anauvisualise pale waliporudi kutoka Dubai kusubiri visa ya kwenda Marekani. Kama pesa ingekuwa kama tulivyokua tunaambiwa wangechuka apartment Masaki anakokuona mbinguni, wakalipa rent ya mwaka, na housegirl wangeweka. Kuliko kwenda kujibanza kwa watu matokoe yake unapigwa stop usikanyage. Mjini sihami jamani.
 
habalini zasubuhi natumaini wote tumeamka sarama na kuaza majukumu mengine nitàfuhi sana kama wote tuko wazima mana kunawengine wameshidwa kuiona leo kwahiyo nijambo la kumshukulu mwanyezi mungu mana bila yeye hakuna mwingine kwahiyo wakwaza mungu na wapili ni wazazi wako asanten sana wazazi wangu kwa kunifikisha hapa nilipo na paka kufikia hapa na mshukulu mungu mana yeye ndo mambo yote
 
Usiwafananishe Na maandazi,andazi it's the Holly bite,sema kitu kingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…