Mange, you don't look good by making others look bad, jitathmini!


Tunamtaka ivo ivo, na usheitwani wake.
 

Hata kama alileta maji kwa interest zake but at least He was not selfish coz hadi leo huduma ya maji inaendelea na tatizo la maji ni historia hapa mkoani kwetu.


Hata kama alipiga madeal hiyo ni akili yake na malupulupu kwa nafasi yake,mengine kumuhusu anajua MUNGU....let us not judge others just bcoz they sin different from us!

Hata hivyo it's H
His right to vote and to be voted kama mna ushahidi wa yote hayo mpelekeni mahakamani,Membe mshamsahau wal hakuna anayemzungumzia kutwa Lowassa mwacheni Mzee azeeke kwa amani
 

No more comment, you are blinded. May be you're too sympathetic, I can not judge u dear! But remember he's asking for the biggest office, so we must question him!! The right to be voted goes hand in hand with being questioned of your deeds!

Tanzanians do not read, do not do follow-ups, do not connect dots, the worst of it all, DO NOT TAKE PROPER ACTIONS BECAUSE THEY CAN'T MAKE OBLIGATORY DECISIONS!

What I see is some desperate souls trying to hold a straw to escape from drowning!

Of all people, Lowassa? Really?!!!! You guys go consult a psychiatrist!!!!
 

That's ur perception bro,it was His dream to become a president of Tanzania kwani vibaya mtu kufight for ur dreams?!
Tangu ajiuzulu mbona umaskini umezidi,rushwa,madawa ya kulevya na mengine mengi tu kutokana na mfumo huu uliopo hata akiingia madarakani tutatimiza ilani ya CDM / UKAWA so I dor worry on that
 

Lowasa is our next prezdaaa...kama hupendi kale malimao.
 

Umaskini umezidi? Upi? Umaskini wa kuwezesha leo Watz kusafiri kwa ndege? barabara kupitika? Madarasa ya kutosha? Fursa za kumwaga! Yaani umaskini upi sielewi! Term Umaskini iko very broad and relative!!

Kama ni Rushwa hata Marekani ipo, huwezi kuzuia rushwa coz it's human nature to be greedy and selfish! Madawa ya kulevya, damn are u serious? Stop mentioning the WW3 stuffs!

Not every dreamer is sacred!

Mpaka leo hakuvaa uniform za chama chake, itakuwa Ilani? You don know him better. Pls, follow your heart but don forget to bring your head with you dear sister!

Let's get back to Mange! She's free to air her opinions anyway....
 

Yupo humu ndani anaweweseka tu kila uchwao na kabadili ID yake.

cc: Mrembobynature Binti Magufuli
 
Last edited by a moderator:
Mwache aongee tutasema na ya kwao na story za Mzee wake maana anajifanya mdomo mrefu tukitoa ya kwao hata amini tunayajua sana ya Mzee wako
 
Mwache aongee tutasema na ya kwao na story za Mzee wake maana anajifanya mdomo mrefu tukitoa ya kwao hata amini tunayajua sana ya Mzee wako

Kama yeye msemaji sana aseme na yake
 
Kila mtu ana mazuri na mabaya,mazuri ya Lowassa kwangu alituletea maji ya ziwa Victoria mkoani kwetu alipokuwa waziri wa maji,kuhusu richmond nilisikia wala sikuoneshwa ushahidi wa huo ufisadi

Huoni hata aibu kusema hivyo! Miaka yake yote serikalini amekufanyia hilo moja tu na unamshabikia??! Shame on you lofa we... and him.
 
Huoni hata aibu kusema hivyo! Miaka yake yote serikalini amekufanyia hilo moja tu na unamshabikia??! Shame on you lofa we... and him.

Ulitaka afanye mangapi ndo nimshabikie?! Mbulura wewe
 
Huyo bibi
Badala ya kuuza sera anaattack mtu..... ??????

Nilikiunfollow kabisa maana naona anabore....

Au waliyoandika kwenye gazeti la wembe labda kweli
 
Tunamtaka ivo ivo, na usheitwani wake.

Ndo maana hatoweza kuwa Rais sababu ya wa type kama yako. Watu wa Type yako ndo wanafanya kina Mzee OR wasimamie mchakato maana bila hivyo ni disaster..
 
Ndo maana hatoweza kuwa Rais sababu ya wa type kama yako. Watu wa Type yako ndo wanafanya kina Mzee OR wasimamie mchakato maana bila hivyo ni disaster..

Narudia tena...tunamtaka ivo ivo na usheitwan wake.
Kama nakukera saga chupa unywe.
Watu type yangu tushachoshwa na utawala wa kifalme wa CCM.Alafu tupo wengi sana.
 
Nilikuwa namfolo huyu dada na nilimuona ana misimamo na kabla ya kampeni alikuwa akiikosoa sana serikali ya ccm kwa ufisadi ila tangu kampeni zimeanza ni yeye na lowasa tuu, tena anaandika message ya kuomba kutumiwa habari mbaya za lowasa ili apost kwenye page yake na blog yake.

Nikamdharau mara moja maana niliona ni njaa imemshika, na siku zote njaa haina baunsa.

Ivi ufisadi Tanzania ni wa richmond tu? What about esrow ya juzi, epa, meremeta , kagoda, pembe za ndovu, kiwira n.k mbona hatukuoni ukifungua mdomo wako juu ya hizi issue na badala yake una dili na afyabya lowasa?

Njaa humpa mtu upofu jamani.
 

Kuna za carpet kuhusu baba ake Mange
 

Kama sie Watanzania watu Wa ajabu we Mchina inakuuma nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…