Mange, you don't look good by making others look bad, jitathmini!

Ila kwenye ukweli tumpe vigelegele mwanamke huyu Mange Kimambi anajitahidi sana kwenye kukampenia CCM ( Chama cha Mapinduzi).

Niliachaga kusoma mambo take wiki iliyopita nikakutana na post take ndio karusha, so knajua tena ukiwa una folo watu mamia au maelfu unavyowezwa pitwa.

Nikafungua nikakuta page yake duh kijani na njano tu rangi...

Anapamba maneno na kuelewesha ujue kinachoendelea huko kwenye vyama vya upinzani kwa yoteeeeee

Kokote kwenye viburudisho niiteni nisome mie, tunaishi na uhai mmoja.

Sema Haleluyah...Amen.
 
Vijana wa Tanzania ni mbumbumbu kama nyumbu. Hawajui wanachokitaka kutoka UKAWA. Ingekuwa Ukawa ya Dr Slaa na akina Lissu na Halima Mdee na John Mnyika ningewaelwa. Lakini unasema unataka mabadiliko kwa kuongozwa na Lowassa na Sumaye, ambao kwa miaka 12 ndiyo walikuwa wanasimamia utekelezaji wa sera za CCM. Huo ni upumbavu
 

kwa hiyo wewe usiye mbumbumbu utaipigia kura CCM ambako ndio kiwanda cha hawa kina Lowassa ili upate hayo mabadiliko? Okay, una akili nyingi sana, nyingi sana...:A S shade:
 

Don't forget to go to kichwapanzi to see how Mange is being exposed. Apparently her brother in law is one of the biggest drug dealers in Tanzania, and somehow she failed to mention this in her many attacks on drug dealers. Double standard much!!!
 
Mr kimambi baba wa mange aliyekuwa mmiliki wa trizz motel mbezi beach alikuewa penda wanawake sana haswa wake za watu alifumaniwa namke wa mtuu mwanza wakamlawiti akaamua kula sumu na kujiua mange ni mtoto wake wa zinaa akumlea ndiyo maana hajui maana ya mtu mzima kuheshimiwa muacheni aendelee ni mtoto wa mtaani uyo
 

You nailed it homie
 
kwa hiyo wewe usiye mbumbumbu utaipigia kura CCM ambako ndio kiwanda cha hawa kina Lowassa ili upate hayo mabadiliko? Okay, una akili nyingi sana, nyingi sana...:A S shade:

Ni afadhali kumpatia simba aliyeshiba kuliko kumpatia simba wenye njaa(UKAWA)
 
Kwa hiyo tuendelee kuiamini CCM mbovu na sio walio jitenga na CCM mbovu. You are a p*g and your brain is dead.
 
Nchi hii inahitaji kiongozi aje afute haya mambo ya bongo movie watu warudi shule!! Kama huna certificate basi hakuna kupractise!! Na Kule vyuo watakapoenda wafundishwe how to behave in and out of social media!!!
 

Kwa hiyo unatakaje? Isikute unamfagilia huyo ambae hata si tunawashangaeni kiasi kwamba haya uliyoyaandika uyageuzie kwako. Mnamjua vizuri huyo mnayemshadadia! Kila mtu afanye kama akili yake inavyomtuma na si kutumia nguvu nyingi kutaka kubadilisha mawazo ya watu wengi walioamua, atakayeshinda kihalali basi atakuwa ameshinda
 

Tatizo ni upotoshaji. We doubt EL because he can't be trusted..

What did he do to JKN? Find info's dear..
 
Tatizo ni upotoshaji. We doubt EL because he can't be trusted..

What did he do to JKN? Find info's dear..

Huna info yoyote but you want us to doubt him, based on what? Now you are even insinuating he did something to JKN. But i bet you won't explain that either, we just have to trust you eeh?....pathetic.
 

Mkuu interest magufuli naye unamjua vizuri?
 
Huna info yoyote but you want us to doubt him, based on what? Now you are even insinuating he did something to JKN. But I bet you won't explain that either, we just have to trust you eeh?....Pathetic.

Why did JKN refute Ngoyai's application for presidency in 1995? At least you may have some piece of info about what happened then in vengeance to that..

Call it 'conspiracy'!
 
Mkuu interest magufuli naye unamjua vizuri?

Come out brother. You may share what u know abt him...

Remember, am taking no side.. Am just naming the devil I know things about!
 
Komba marehemu amewahi kutamka kuwa warioba ni Mzee anae subiri kufa Leo hii warioba anadunda huyu alie fariki Jana alisema lowasa bora kahamia cdm ni mgonjwa akafie huko Jana kafariki lowasa yuko mzima. Mange hata wewe ni binadamu unaweza kufa within a second. Hatima ya Maisha yetu yako mikononi mwa mungu. Ni ushauri tu
 
Why did JKN refute Ngoyai's application for presidency in 1995? At least you may have some piece of info about what happened then in vengeance to that..

Call it 'conspiracy'!

Can you give us a single piece of evidence that Mwalimu refused Ngoyai's application for presidency? Read the following IRREFUTABLE pieces of evidences FROM MWALIMU HIMSELF!

"Ni kweli mzee Mwinyi anaondoka, lakini ndani ya CCM tuna viongozi wengi wenye sifa ya kuwaongoza watanzania kikubwa tu awe na dhamira; kwa mfano wapo wakina Warioba, Mzee Msuya na Bomani Mark, lakini pia tuna vijana hodari na wenye upeo mkubwa sana kama Mkapa, Kikwete na Lowassa, ni jambo la heri sana CCM kuwa na watu kama hawa (Majira 26/5/1995 ukurasa wa 3; na Nipashe 26/5/1995 ukurasa wa 3).

Mahojiano ya Mwalimu Nyerere na mwandishi wa habari wa Majira ndugu Theodatus Muchunguzi. (swali lilihusu kuwaelezea wagombea waliojitokeza ndani ya CCM na jinsi wanavyoweza kumkabili Mrema (Kumbuka Mrema Lyatonga alipojitoa ndani ya CCM mziki wake ulikuwa hatari sana).

Majibu ya Nyerere, nanukuu "Lowassa anao uwezo wa kujieleza na kugusa hisia za watu na by nature ni mwanaharakati kama Mrema. Hii inatoa ishara kwamba CCM ikimpitisha inaweza ikampata mgombea wa kumdhibiti Mrema vizuri sana, ila kikubwa ni atakayeteuliwa na chama lazima awe na uwezo wa kuamsha ari za wanachama" (Majira Jumanne, Juni 20, 1995).

Mahojiano ya Conrad Dunstan na Mwalimu Nyerere Kuhusu kukatwa kwa Lowassa na Malecela, Nanukuu maneno ya Nyerere "Ni kweli ninakiri kwamba mmoja wa walioomba kugombea kiti cha Urais kwa tiketi ya chama cha mapinduzi (CCM), Bw. Edward Lowassa alizua mjadala mkali kwenye vikao vya uteuzi na hii imetokana na nguvu aliyokuwa nayo kwenye chama, ni mmoja wa wagombea ambaye watu wengi walikuwa wakitarajia apitishwe kwenda kwenye mkutano mkuu wa CCM ili apendekezwe kuwa mgombea urais wa jamhuri, na hata mimi nilishawai kusema kipindi fulani kuwa akipitishwa kwa nguvu aliyonayo angemshinda Mrema asubui na mapema. Ila niweke wazi hakukuwa na mizegwe ya aina yoyote, wala sikushinikiza jina la Lowassa kukatwa; kuna watu wengi sana wamehoji hili mpaka nimepata taarifa kuwa jana wakazi wa Dar es Salaam waliandamana kwenda Lumumba kuhoji kwa nini jina la Lowassa halikurudi" hayo ni maneno ya Mwalimu Nyerere akifanya mahojiano na Conra Dunstan (katika gazeti la Majira juni 27, 1995, kurasa wa 1 na 3).

Sasa tafadhali lete ushahidi wako usiopingika that Mwalimu had problems with Lowassa. Remember keyword=Usiopingika!
 
Jamani wewe umekomaa! Hujui hapa tu ndo mahba na Ngoyai yanaongezekaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…