mangii

Wamajamii ndiyo nini manake kikwenu au?
 
Habari wamajamii mpo i am a new

Mangii hata MoD wakiiona hii thread kabla ya kuitupilia mbali kwenye jokes and gossip itabidi acheke kwanza!!!!!

Hatakuwa na uhakika kama wakati unatupilia uzi ulikuwa mzima au mbege ya kidhungu ilikuwa imekueelemea!!!!!

Mangiii hii kweli ndiyo siasa??????
 

Mkuu,

Upo sawa 100%
 
Karibu sana JF. Uwe makini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…