Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Katika kikao kilichofanyika Juzi Jumamosi, Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Murtaza Mangungu alishauliwa kujiuzulu katika nafasi hiyo, lakini hadi muda huu ameshikilia msimamo wa kutokuachia ngazi katika nafasi hiyo.
[emoji3514]Nb: Hatoki mtu hapa[emoji23][emoji23]
[emoji3514]Nb: Hatoki mtu hapa[emoji23][emoji23]