Mangungu amjibu Mo Dewji: Simba SC haiuzwi na haitauzwa kamwe

Kweli Simba ni mambumbumbu! Yaani wanaanikana hadharani ovyo mchana kweuupeeee
 
hizo hisa 51/49 ndio manunuzi yenyewe...kwani soko la hisa huwa linauza nini???
Wabongo tunakwama wapi💪🇹🇿👍
 
Mo ana haki ya kusema hivyo ... Simba ni Mali yake! Hata sisi mashabiki wa Simba tunajua hili, ndio maana tulipanga na Kigwangala alipokuwa anasema uongo juu ya bosi wetu Moo!. Na ikiwezekana naomba timu aihamishie hata India ikacheze huko. Mangungu oyeeeeee
 
Dj walete na Amapiano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…