Acha uongo dogo, hyo 51% ya uwekezaji umeitoa wapi?Mwenyekiti wa klabu ya Simba Murtaza Mangungu hapo kesho atahutubia kupitia Sport HQ ya E -fm
Mambo atakayoyazungumzia
- Suala la Uchaguzi ndani ya Simba
- Suala la transformation
- Katiba ya Simba kumnyima mamlaka mwenyekiti ambaye ana 51% ya wanachama
- SIMBA KUUZWA Miaka 5 iliyopita
- Suala la uwekezaji ndani ya Simba
-Suala ya kuvuka nusu fainali klabu Bingwa
-Suala la usajili wa Prince Dube na Bruno Gomezi