NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Kurusha mawe kwa Mangungu ni kupoteza muda tu, hata ikitokea kajiuzulu Mambo yatakua hivyo hivyo tu.
Mangungu anatumika ana watu nyuma ya Pazia Hana sauti na Hana uwezo wowote wa kupambana na jopo lililo nyuma ya Pazia, jopo hili lilimpambania kwenye uchaguzi wa mwenyekiti mpaka akapata kiti.
Jopo hili lilifanikiwa kumleta Manzoki, liligaramia Gharama zote mpaka Manzoki akafika dar na kuwadanganya mashabiki wa Simba sc, Mangungu alitumika Kama ngazi tu na ninadhani kabisa hiki kinamtesa katika nafsi yake.
Jopo hili ndiyo linasimamia usajili wa wachezaji Kocha Hana Mamlaka ya kutaka wachezaji anaowataka yeye na ndiyo mamana baada ya kelele za Mashabiki hili jopo liliamua kuajili skauti wa kuzuga lakini nyuma ya Pazia skauti Hana kazi yoyote.
Jopo hili lipo kimasilahi zaidi (ten percent) linatengeneza pesa /linaingiza pesa kupitia wachezaji liliowachagua sokoni.
Jopo hili linalinda brand ya boss mkuu (Mo Dewj) na siyo brand ya timu (Simba sc) na ndiyo Maana matangazo yamezagaa kwenye jezi yote ya Simba sc bila kujali lolote.
Maoni Yangu: Wanasimba hawapaswi kumpiga mawe Mangungu Kwan Mangungu hatoi pesa za usajili, Mangungu hachezu uwanjani, wanasimba wanapaswa kuangalia uongozi wa juu ndiyo Umejaaa Madudu.
#FreeMangungu.