Mangungu ni utopolo aliyepata jukwaa la kumtangaza kisiasa

Mangungu ni utopolo aliyepata jukwaa la kumtangaza kisiasa

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Tumeshtuka huyu ni pandikizi lililowekwa na kiongozi mkubwa mmoja mstaafu ili aidukue Simba kwenye mechi zake na Yanga.

Huyu mzee ni jeuri na haumizwi na matokeo ya Simba.
Mwenzake "jaribu tena" ni mpigaji tu hana lolote.Hawa wote hawana aibu ndio maana hawawezi kujiuzulu.

Simba haiwezi kuwa timu ya kufungwa fungwa na vitimu vya daraja la chini.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
KUIBUKA KWA KWA DINI MPYA YA SIMBA NA YANGA.

Tumeisha waambia Hizo timu kuzishobokea sana kupita kiasi tatizo.

Kila muda simba yanga.
Muda wote mnawaza simba na yanga, hilo ni tatizo na ni kaugonjwa fulani hivi.

Simba na Yanga zimekuwa Dini Tanzania kutwa kucha ni kuziabudu tu.

Mnachezewa Danganya Toto na Goverment maana hivyo ni vyombo vyao vya propaganda.

MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
 
Back
Top Bottom