Mangungu: Siondoki Simba

Mangungu: Siondoki Simba

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
22,719
Reaction score
40,739
Mwandishi, "Tumesikia kuna kikao kimefanyika kuhusu kutaka kujiuzulu kuna ukweli?

"Nani kasema nataka kujiuzulu? Mimi bado niko Simba na sifikirii kuhusu hilo. Mbona timu ikifanya vizuri hamuulizi kuhusu kujiuzulu! Ni mapema mno sana kuanza kuzungumzia hayo mambo"

Mashabiki na Wanachama wa Simba wanalaumu kuwa huwa huendi uwanjani kwenye mechi kama Rais wa Yanga Eng. Hersi Said, unalipi la kusema?

"Nikiwa uwanjani natakiwa niripoti kwa nani kwamba niko uwanjani ? Timu inaongozwa na bodi na kila mechi viongozi wapo, mimi nikienda ndio timu itashinda?"

©️ Murtaza Mangungu.
Mwenyekiti wa Simba SC akifanyiwa mahojiano na Radio one.
 
Mwandishi, "Tumesikia kuna kikao kimefanyika kuhusu kutaka kujiuzulu kuna ukweli ?!

"Nani kasema nataka kujiuzulu ?! Mimi bado niko Simba na sifikirii kuhusu hilo. Mbona timu ikifanya vizuri hamuulizi kuhusu kujiuzulu !! Ni mapema mno sana kuanza kuzungumzia hayo mambo"

Mashabiki na Wanachama wa Simba wanalaumu kuwa huwa huendi uwanjani kwenye mechi kama Rais wa Yanga Eng. Hersi Said, unalipi la kusema ?!

"Nikiwa uwanjani natakiwa niripoti kwa nani kwamba niko uwanjani ? Timu inaongozwa na bodi na kila mechi viongozi wapo, mimi nikienda ndio timu itashinda ?!"

©️ Murtaza Mangungu.
Mwenyekiti wa Simba SC akifanyiwa mahojiano na Radio one.
Bado wanamsimbazi wanakuhitaji,usiondoke mwaya 🤣🤣🤣
 
Mwandishi, "Tumesikia kuna kikao kimefanyika kuhusu kutaka kujiuzulu kuna ukweli?

"Nani kasema nataka kujiuzulu? Mimi bado niko Simba na sifikirii kuhusu hilo. Mbona timu ikifanya vizuri hamuulizi kuhusu kujiuzulu! Ni mapema mno sana kuanza kuzungumzia hayo mambo"

Mashabiki na Wanachama wa Simba wanalaumu kuwa huwa huendi uwanjani kwenye mechi kama Rais wa Yanga Eng. Hersi Said, unalipi la kusema?

"Nikiwa uwanjani natakiwa niripoti kwa nani kwamba niko uwanjani ? Timu inaongozwa na bodi na kila mechi viongozi wapo, mimi nikienda ndio timu itashinda?"

©️ Murtaza Mangungu.
Mwenyekiti wa Simba SC akifanyiwa mahojiano na Radio one.
Huyu mjinga wana Simba wamfanyie kama vile Wanayanga walivyomfanyia Lloyd Nchunga yeye mwenyewe ataomba po.
 
Huyu ni mwanasiasa kama wanasiasa Watanzania Ving'ang'anizi wasipokubali kuwajibika kwa matokeo dhaifu chini ya uongozi wao. Huyu bila kufukuzwa na wanachama hawezi kutoka japokuwa kirusi kikubwa pale ni Try Again.
 
Simba msahau ubingwa wa ligi kuu chini ya uongozi wa Murtazar Mangungu. Na kama hamuamini, na mnajielewa! basi siku moja muulizeni sababu hasa ya kumleta Caesar Manzoki siku ya ule uchaguzi ilikuwa ni ipi hasa!
 
Mwandishi, "Tumesikia kuna kikao kimefanyika kuhusu kutaka kujiuzulu kuna ukweli?

"Nani kasema nataka kujiuzulu? Mimi bado niko Simba na sifikirii kuhusu hilo. Mbona timu ikifanya vizuri hamuulizi kuhusu kujiuzulu! Ni mapema mno sana kuanza kuzungumzia hayo mambo"

Mashabiki na Wanachama wa Simba wanalaumu kuwa huwa huendi uwanjani kwenye mechi kama Rais wa Yanga Eng. Hersi Said, unalipi la kusema?

"Nikiwa uwanjani natakiwa niripoti kwa nani kwamba niko uwanjani ? Timu inaongozwa na bodi na kila mechi viongozi wapo, mimi nikienda ndio timu itashinda?"

©️ Murtaza Mangungu.
Mwenyekiti wa Simba SC akifanyiwa mahojiano na Radio one.
Wanasimba msipoandamana huyu bwana hatoki hata kwa grader
 
Back
Top Bottom