Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Bado wanamsimbazi wanakuhitaji,usiondoke mwaya 🤣🤣🤣Mwandishi, "Tumesikia kuna kikao kimefanyika kuhusu kutaka kujiuzulu kuna ukweli ?!
"Nani kasema nataka kujiuzulu ?! Mimi bado niko Simba na sifikirii kuhusu hilo. Mbona timu ikifanya vizuri hamuulizi kuhusu kujiuzulu !! Ni mapema mno sana kuanza kuzungumzia hayo mambo"
Mashabiki na Wanachama wa Simba wanalaumu kuwa huwa huendi uwanjani kwenye mechi kama Rais wa Yanga Eng. Hersi Said, unalipi la kusema ?!
"Nikiwa uwanjani natakiwa niripoti kwa nani kwamba niko uwanjani ? Timu inaongozwa na bodi na kila mechi viongozi wapo, mimi nikienda ndio timu itashinda ?!"
©️ Murtaza Mangungu.
Mwenyekiti wa Simba SC akifanyiwa mahojiano na Radio one.
Hahaaaaaa umeandika kikike kabisa. Hatakiwi kuondoka, mpaka wampige mawe.Na usiondoke mwaya.
Huyu mjinga wana Simba wamfanyie kama vile Wanayanga walivyomfanyia Lloyd Nchunga yeye mwenyewe ataomba po.Mwandishi, "Tumesikia kuna kikao kimefanyika kuhusu kutaka kujiuzulu kuna ukweli?
"Nani kasema nataka kujiuzulu? Mimi bado niko Simba na sifikirii kuhusu hilo. Mbona timu ikifanya vizuri hamuulizi kuhusu kujiuzulu! Ni mapema mno sana kuanza kuzungumzia hayo mambo"
Mashabiki na Wanachama wa Simba wanalaumu kuwa huwa huendi uwanjani kwenye mechi kama Rais wa Yanga Eng. Hersi Said, unalipi la kusema?
"Nikiwa uwanjani natakiwa niripoti kwa nani kwamba niko uwanjani ? Timu inaongozwa na bodi na kila mechi viongozi wapo, mimi nikienda ndio timu itashinda?"
©️ Murtaza Mangungu.
Mwenyekiti wa Simba SC akifanyiwa mahojiano na Radio one.
Lini sasa wakati mnashiriki kombe la wachovu?Hatujaamua , siku tukiamua ataondoka tu . Tena ataondoka kwa kutoroka akiwa amevaa gauni la mke wake ili kuficha sura yake
Wanasimba msipoandamana huyu bwana hatoki hata kwa graderMwandishi, "Tumesikia kuna kikao kimefanyika kuhusu kutaka kujiuzulu kuna ukweli?