Mwandishi, "Tumesikia kuna kikao kimefanyika kuhusu kutaka kujiuzulu kuna ukweli?
"Nani kasema nataka kujiuzulu? Mimi bado niko Simba na sifikirii kuhusu hilo. Mbona timu ikifanya vizuri hamuulizi kuhusu kujiuzulu! Ni mapema mno sana kuanza kuzungumzia hayo mambo"
Mashabiki na Wanachama wa Simba wanalaumu kuwa huwa huendi uwanjani kwenye mechi kama Rais wa Yanga Eng. Hersi Said, unalipi la kusema?
"Nikiwa uwanjani natakiwa niripoti kwa nani kwamba niko uwanjani ? Timu inaongozwa na bodi na kila mechi viongozi wapo, mimi nikienda ndio timu itashinda?"
©️ Murtaza Mangungu.
Mwenyekiti wa Simba SC akifanyiwa mahojiano na Radio one.