Mangustino a.k.a mzee wakibajaj afunga mwaka kwa aibu!!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Nikiwa baa ya Matutina maeneo ya Mbezi beach(Tanki Bovu) Kaja jimama lakikenya limekuja na driver wake likamwambia mzee wa Kibajaj nataka gari yangu niliyokununulia kwani wewe umeamua kuwa na rozi hadi umempa mimba inaelekea ndo unaye mpenda!!Watu wakabaki sameshika midomo japo usiku lakini kwajinsi alivyokuwa anashout kila mtu kasikia nikawa naona aibu mimi mwenyewe utadhani dhahama hilo limenikuta mimi!!!Kumbe wanamziki wanamilikiwa na mijimama!!!Ila aibu kwao!!!
 
hakyanani Kakakiiza nitajiua juu yako.....
 
du kweli hiyo aibu ya kufungia mwaka.
 
Hee ana Rosi tena hata mm kanidanganya basi uwiiiiiiiiiiiiiii ngoja nirudi Tz sasa!lol
 
hakyanani Kakakiiza nitajiua juu yako.....



unadhani huku nimepita nakuona hii post? Wala! Mi. Nasoma zingine na wala sijaona wivu

JIANDAE KURARA KWENYE KOCHI REO
 
Preta mbona unapenda kuanika mambo yetu watu watanipiga bure wana hasira my mpenzi
 
du kweli hiyo aibu ya kufungia mwaka.

Aibu ya nini? Kwani hao wanaotoa magari hawajui kuwa kunawagari nawa machejo?!, ala , yaani wewe unataka mzee mzima azae mtoto anafanana na lucy?, yeye atoe gari aishie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…