- Mkulu wangu Sikonge, shukrani mimi binafsi nilikuwa ninautafuta ile mbaya sasa nataka kuufyonza hauchezi vipi tena mkuu?
FMES!
Okay nimeenda kule nimeukuta ingawa wameukata lakini saafi, duh! wakulu wote kuanzia Papa Ndombe, Josky Kiambukuta, Micky RIP, Madilu Systeme, kina Mayaula Mayoni, na Mkulu mwenyewe Maestro Lutumba Simaroo.
FMes,
Nilikuahidi kukuwekea hapa ila shughuli tena. Pasaka hii ntajitahidi niurekodi kutoka kwenye VYNIL na kuuweka kwenye Hard Disc. Na soon baada ya pasaka basi ntaweka hapa LINK yake au kuwatumia watu moja kwa moja kwenye email zao. Hivyo kama wataka wimbo peke yake , VUTA SUBIRA.
NB: Ila niseme kabisa kuwa kuna sehemu unaJAM na kuanza kujirudia hivyo itabidi kuanza kufanya KALUFUNDI kidogo na last product inaweza kuwa kidogo saana kuwa na mushkeli.... Ntajitahidi iwe ndogo sana au isiwepo kabisa, labda mtu aitafute kwenye waves za wimbo...

Kwa wale wapenzi wa OLD RUMBA, kuna wimbo hapo juu ni vigumu sana kuupata na nimeubahatisha kuukuta kwenye YOUTUBE, jamaa mmoja kaweka Video yake live. Kama kuna mtu alikuwa akiutafuta na hajawahi kuuna au kuusikia siku nyingi basi wahini hapa chini. Mids hii baadaye mwaweza kuichanganya na thread nyingine za miziki.
YouTube - Orchestre T.P. O.K. Jazz - Manguta (Nguashi Ntimbo) Télé Zaire 1980