Haroun mnana
New Member
- Mar 4, 2023
- 2
- 0
Wakuu naomba kwa yeyote anaweza kunifahamisha hiyo manifestation ni nin na itafanywaje please nahitaji kujua.
Nimeona watu mbalimbali wakilizingumzia hilo na inaonekana ni kama njia salama ya kutatua matatizo yetu.
Msaada wakuu [emoji120]
Nimeona watu mbalimbali wakilizingumzia hilo na inaonekana ni kama njia salama ya kutatua matatizo yetu.
Msaada wakuu [emoji120]