Haroun mnana New Member Joined Mar 4, 2023 Posts 2 Reaction score 0 Mar 24, 2023 #1 Wakuu naomba kwa yeyote anaweza kunifahamisha hiyo manifestation ni nin na itafanywaje please nahitaji kujua. Nimeona watu mbalimbali wakilizingumzia hilo na inaonekana ni kama njia salama ya kutatua matatizo yetu. Msaada wakuu [emoji120]
Wakuu naomba kwa yeyote anaweza kunifahamisha hiyo manifestation ni nin na itafanywaje please nahitaji kujua. Nimeona watu mbalimbali wakilizingumzia hilo na inaonekana ni kama njia salama ya kutatua matatizo yetu. Msaada wakuu [emoji120]
safuher JF-Expert Member Joined Feb 11, 2019 Posts 11,837 Reaction score 17,412 Sep 4, 2023 #2 UFafanuzi zaidi mkuu
EvilSpirit JF-Expert Member Joined Jun 15, 2017 Posts 10,576 Reaction score 16,644 Sep 4, 2023 #3 Kwa kukushangaza zaidi ukiachana na manifestation kuna womanifestation
Haroun mnana New Member Joined Mar 4, 2023 Posts 2 Reaction score 0 Sep 4, 2023 Thread starter #4 safuher said: UFafanuzi zaidi mkuu Click to expand... Ndio mana nikaomba msaada kama kuna mtu anafaham atujuze
safuher said: UFafanuzi zaidi mkuu Click to expand... Ndio mana nikaomba msaada kama kuna mtu anafaham atujuze