Manii huathiri kama vimelea vya kichaa cha mbwa

Mshana unaongea kwa lugha ngumu sana bro. Ila in short kati ya watu nnaowakubali na kwapenda humu jf wa kwanza ni wewe. Seriously nakupenda mpaka basi
Am humbled....!!! Asante sana
 
Shoga maarufu nchini Kenya.. He is no longer
 
Mshana usirudie kuongelea uchafu huu, unaweza kuwa unaupromote..... ngoja kwanza nkatapike.
Nipeni uraisi 2025 nisafishe kizazi hiki, sababu they are not supposed to be in this world
Nakubali mwamba
 
[emoji87][emoji87][emoji44][emoji44][emoji25][emoji25][emoji25]dunia inakwenda wapi?
 
Some true say, Kuna shoga mmoja alikuja kwenye harusi ya my sister.

Ilikuwa harusi ya kiislam, tumekesha vizur imefika muda wa kulala akaja kulala na wadada.

Nashangaa mpaka kesho. Mshana Jr,
 
Some true say, Kuna shoga mmoja alikuja kwenye harusi ya my sister.

Ilikuwa harusi ya kiislam, tumekesha vizur imefika muda wa kulala akaja kulala na wadada.

Nashangaa mpaka kesho.
[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]alikuja kuitia nuksi harusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…