Manii huboresha ngozi za wanawake

Manii huboresha ngozi za wanawake

Da Vinci XV

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2019
Posts
3,862
Reaction score
6,438
Kwa bahati nzuri kila mwanamke anapenda uzuri, na sifa ya wanaume ni kupenda wanawake wazuri,na uzuri wa kuwa mzuri ni uzuri wa kusifiwa kwa maneno mazuri kutoka kwa wanaume wazuri yakwamba wewe ni mzuri.

Wakati ule 'ninaimba jua lile literemke mama' pale shule ya msingi miaka kadha iliyopita huku nikusubiri kipindi nikipendacho kupita vingine vyovyote ambacho waswahili na wataalamu wa lugha wakakipa neno "Mapumziko" ili nikapate kombe kubwa la uji wa shilingi Hamsini kwa Mama zena

Uji uliyosheheni viambatanisho vya Rutba itokanayo na vyakula adhimu vya kiafrika na kimwambao, hapo ungekuta Karanga ndani ya Uji, Pilipili manga, ndimu na kajisukari ka kuufanya ule uji uwe na radha tamu. Waipendayo watoto, ingenipasa kuruka wamama kadhaa wauza bagia na visheti ili niikute meza ya mama zena.

Kama ungekuwa mgeni basi ungeelekezwa tu utakuta mmama moja mwenye shepu kupita wengine na makalio ya haja kidogo (Teh Teh Teh)

Si haba na wala usingeliuliza chochote kuona watoto wakimiminika kununua kimiminika hicho hapo... huku ukiiskia sauti ile nyembamba na ya kumtoa ng'ombe bandani ,mama zena akiitisha na kunadi biashara yake.

mara nyingi ungemsikia "watoto pata Uji safi wenye protein uwe ba akili darasani"

Cha ajabu hata huyo mwanawe zena hakuwahi kuwa hata 40 bora darasani ila baada ya kuhitimu na kuanza kukua aghalabu niliona ile shepu na mwili maridadi wa kisichana utetemeshao akili ya mwanaume asiye mvivu katika urijali huenda zile protein walizokuwa wanatuimbia yeye na mama yake zilileta manufaa😅

Basi baada ya kupiga kombe langu kubwa la uji Nikirudi darasani hapo pindi wala halipandi kwa kichwa, hata zile faida za proten mwilini ambazo mwalimu wa sayansi angetufunza kila siku ati vyakula kama samaki , nyama , mboga jamii ya kunde na vinginevyo vingekuongezea vitu kadhaa kati ya vingi katika mwili.

Mungu si KENZY wala si Chakorii Kijana wa watu nikafanikiwa kukua na kuisoma sayansi vyema,

Pia nikapata kuskia malalamiko kadhaa wa kadhaa kutoka kwa wanawake wakiwemo dada zangu na mabinti kadhaa nliokuwa nao katika mahusiano yale ya Mungu Baba yetu aliyomuamrisha Adamu na Mkewe Hawa eti zaeni mkaongezeke.

Uzuri wa wanawake ni wazuri na wanapenda vizuri, basi ungeliwaskia wakilalama. Mara nataka Mafuta fulani, mara nataka ngozi kama ya Beyonce , mara chocolate colour itanipendeza sana, mara nina chunusi kwa face yangu, mara mafuta haya na yale hayanipendi,
Ukipita mitandaoni ndiyo kabisa

Na vijimaswali vya vya fesibuku ati " NGOZI YANGU INA VIPELE VINGI NIFANYEJE" mambo kibao na ule upuuzi upuuzi mwingine wa kike.

Lakini mimi huyo huyo wakati naisoma sayansi ya Afya ya Uzazi kule chuoni. Upande wa mwanaume nikakutana na kitu kinaitwa 'Semen' kama nyie munavyoita shahawa

Nikaja soma eti miminika hili limecontain nutriets nyingi sana Protein, Calcium, Lactic Acid, Pottasium na Magnesium. Nadhani mwajua faida za hizo nutrients hapo juu na mwaelewa zaidi faida za Hizo vitu katika kuifanya ngozi iwe bora.

Girl si upeane hiyo kitu umwagiwe spermetozoa protein na mengineyo, that got therapeutic values good for your skin and curves broadening

Uwe mali moja safi ukuongeza hizo body losheni na na mafuta yako ndio uwe kabisaa konyoooo

Wanaume rijali tusio kasoro tubaki tukinena tu kwa lugha "See her natural glowing skin" she is pretty isnt she??😅
 
Kwa bahati nzuri kila mwanamke anapenda uzuri, na sifa ya wanaume ni kupenda wanawake wazuri,na uzuri wa kuwa mzuri ni uzuri wa kusifiwa kwa maneno mazuri kutoka kwa wanaume wazuri yakwamba wewe ni mzuri.
Nishaanza kuelewa kwanini sikuizi unakutana na kibinti kidogo kina tako mpaka najiuliza mbona mapema, huenda ni virutubisho wanaanza kupata mapema
 
Nishaanza kuelewa kwanini sikuizi unakutana na kibinti kidogo kina tako mpaka najiuliza mbona mapema, huenda ni virutubisho wanaanza kupata mapema
😅😅😅😅😅😅 walakini hivi vibinti vidogo
 
Kwa wale ambao mtashindwa kusoma mada yote mtoa mada alikuwa anasisitizia pia tusiache kufanya mapenzi hata kama maisha ni magumu kiasi gani
Dah... Kama ulijua uka fanya summary moja kwa mojaa. Bandiko kuubwa afu mtu anaandika utumbo tuu
 
Hii akili ni ya kijinga sana, kuamini kwamba kitu ambacho hakiingilii kwenye mdomo kikameng'enywa kwenye utumbo kikapitia kwenye mshipa wa maini na kwenda mwilini, kinaweza kuingia mwilini moja kwa moja. manii yakiwa kwenye uchi wa mwanamke yanaingiaje kwenye mishipa ya mwili wako kwa mfano? Mungu aliumba mfumo halisi kabisa wa vitu gani vinaweza kuingia mwilini mwako.

Ungeniambia kwasababu mwanamke anapofanya sana ngono anakuwa anatoa minyee (same to men), hata mimi nisipofanya ngono kwa wiki mbili lazima lichunusi linitoke manake hizo ni manii zangu zilitakiwa kutoka kwa njia ile sasa zinatafuta sehemu ya kutoka na zinapitia popote na kufanya ngozi isiwe smooth. na manii ni protin ujue. kwa mwanamke pia ana hormons zake.
 
Back
Top Bottom