Bazazi
JF-Expert Member
- Aug 18, 2008
- 2,806
- 3,485
Kwa muda mrefu Nimekuwa nikisikia toka kwa wanawake kadhaa kuwa MANII/SH@H@W@ ni uchafu. Nimejaribu kutafuta uchafu wa manii sijauona. Lakini linalonishangaza zaidi ni kuwa mwanamke akisikia mwanaume wake ana mwanamke mwingine inakuwa ugomvi mkubwa. Swali iwapo manii ni uchafu kwanini wanaulinda uchafu huo kwa gharama Kubwa sana.
wanaMMU (Lizzy, Smile, KONGOSHO etc) naombeni msaada wenu.
Bazazi ni Bazazi
wanaMMU (Lizzy, Smile, KONGOSHO etc) naombeni msaada wenu.
Bazazi ni Bazazi